Yes ni kweli ....critical thinking...nina wasiwasi na huyu mtoa uziHuu uzi yawezekana unafuatiliwa kwa makini sana na majambazi, najaribu kuwaza tu kwa sauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes ni kweli ....critical thinking...nina wasiwasi na huyu mtoa uziHuu uzi yawezekana unafuatiliwa kwa makini sana na majambazi, najaribu kuwaza tu kwa sauti.
Bila shaka mkuu hakika umenenaHuyu nae MWIZI tu
Una m cc: Mshana jr......kwani unadhani hizo dawa zinahusiana na ndumba
kwani Mshana jr anahusiana na ndumba tu? JAPO MIMI NAHISI HATA NDUMBA HAPO INAHUSIKAUna m cc: Mshana jr......kwani unadhani hizo dawa zinahusiana na ndumba.
Itakuwa njema...Inakuwa deactivated na maji. Tena yakiwa katika chombo chenye high exposure kama beseni au ndoo ni vyema zaidi. Nitaleta chemistry yake baadae
Du kumbe wanatumia mavi ya punda? na inakuaje wanayafanyaje mpaka watu wanalala 444 (fofofo?)Mavi ya punda
Bila shaka mkuu hakika umenena[/QUOTE
Wanayachoma chini ya dirishaDu kumbe wanatumia mavi ya punda? na inakuaje wanayafanyaje mpaka watu wanalala 444 (fofofo?)
Think twice utamuelewa....mkuu yupo vinzurisi amekuta haipo
Hakikisha unakuwa na chombo chenye maji chumbani/vyumbani mfano maji kwenye ndoo.ikipulizwa hiyo dawa inakwenda kwenye maji.maji yakikosekana inakimbilia sehemu za unyevunyevu kama puani.utakuwa umeibiwa
Kweli mkuu. Watu wapo tayari kuyumia gharama yoyote kuweka alarm kwenye gari lakini uhai wake haujali kabisa. Maana mwizi kuingia ngani ukiwa fofo nisawa na kumkabidhi uhai wako maana anaweza kuganya chochote na akatokomea bila hata kuacha alama. Tubadilikeni jamani, zipo alarm za bei chee kabisa. Ukigusa tuu ni kama king'ora cha ambulance au gari za police. Hadi majirani wataamka
Usiweke hivo funga mbwa weka na alarm unajua had mwizi aingie kwako lazima anakuwa amepewa mchongo na insider anayejua vzuri mazingira nao huwa hawakurupuki. Vingine kumwomba Mungu tu kuna siku kaka yangu aliponea chupuchupu kuibiwa na aliweka mlinzi ila waliingia ndani Mpaka sebuleni kilichowaokoa ilikua mtoto analia wakaamka na wezi wakakimbia na ameanza kufuga mbwa wengi wa wezi wa vitu vya ndani ni vibakaMi huwa nasafiri mara kwa mara, ivo nikiwa nimefunga nyumba wao wakaja iba ndo nataka washawishike kula biscuit.
samasion sina uhakika na spelling lakini inatamkwa hivyoNaomba kujua ni dawa gani au sumu gani naweza weka kwenye biscut au chakula ambacho mwizi akila kesha yake afe, iwapo ataniibia kwa stail hiyo.
Hii ya kutolea mafuta pikipiki/gari usiku alikuwa ananikumbusha sana mzee ila sikujua maana yake hadi siku majambazi walipotutembelea usiku wakata nyaya ili wawashe kitu waondoke ikagoma wese hamna na ndo ikawa salimika ya huo mchuma ilikuwa 1997Kuna mwanajeshi mmoja yeye alikuwa akilala pikipiki yake anaitoa upepo alafu anaimwaga wese lote, sasa siku nahiyo wanyama wakatinga ndani, wakampulizia dawa kama kawaida yao, Walipofika kwenye Honda wakakuta haina upepo, jamaa wakatafuta pump, wakajaza, wakaenda kutafuta mafuta wakaweka, wakaiwasha wakala kona, jamaa asubuhi anaamka anakuta alama za matairi tu, ndio baadhi ya majirani wakasema usiku tulisikia pikipiki ikiwashwa ndani mwako....
Of course hata mie na hata watu wengine mitaa ile huamini kuwa wezi wale wanatumia mitishamba kwani wakimtembelea mtu mara nyingi hugonga msosi, kuwahamisha watu toka kitandani na kuwapeleka sehem nyingine humo ndani na kisha kutoka na wanachotaka hususani pesa na electronic devicesLazima kuna kitu chaziada waliwafanyia na hawakupenda kulisema hilo hadharani maana ni aibu. Kama waliweza hadi kuwatenganisha hadi vyumba, inawezekana walifanya mengi
Not interested in black language ( swahili) im so sorry, but thank u for ur critics Mrs. Fox= ajili
=sebuleni
= sebule
Asante kwa masahihisho dada, kiswahili ni kigumu sana, kwanza shule sikubobea ktk kiswahili.= wanaringa
Style nzuri sana hii, ila siku nyengine watakuja na mchuzi juu.Hii ya kutolea mafuta pikipiki/gari usiku alikuwa ananikumbusha sana mzee ila sikujua maana yake hadi siku majambazi walipotutembelea usiku wakata nyaya ili wawashe kitu waondoke ikagoma wese hamna na ndo ikawa salimika ya huo mchuma ilikuwa 1997
Hakuna mwizi wa majumbani aliye na account jf, sure nakwambia. Jf members ni watu ambao wamesoma kwanza mwizi hawezi kukaa na smartphone wala pc. Then mimi ni mtu mwenyekazi yangu nzuri tu! alafu naheshimika katika jamii ninayoishi, ukitaka kunijua mimi. Mimi ni wale tunaokaa viwanja vya serikali , sina shida ya kimaisha ugali ausumbui.Mleta mada sina imani nawe hata kidogo.Kama huna kazi,kalime acha hizo.
Absolute true.Huu uzi pengine mtoa mada ana lengo zuri ila ni vema ukaachwa cz huenda badala ya kujenga ndio tukazidi kubomoa!! Ndani ya michango ya wadau humu inatoa elimu ya wezi kujiboresha zaidi.