Pre GE2025 Ni dhahiri Lissu ndiye Rais ajaye wa JMT

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dini mbili maarufu zimempa mwanamke nafasi yake. Si Vyema mwanamke kua kichwa cha familia wakati Baba yupo .

25 ndo uchaguzi wa muhimu zaidi waungwana wakukosea wakumpa kiti watakua na wakati mgumu mno
 
Mimi nimekuelewa, ila kuna kitu sitakisema
 
vp yanayojiri huko bawacha?

Celestine? Simba!!
 
Hii nchi inataka kiongozi mwenye msimamo kama yule jamaa wa Bukina Faso, sio hawa watu kila siku taarabu lakini hawajahi kuongea kuhusu matatizo ya kiuchumi na solutions zake.
Chagueni mtu yoyote kati yao lakini hakuna hata mmoja mwenye pumbu za kusimama kwenye ukweli, wote ni fake tu na wakichaguliwa watakuwa vibaraka kama hawa wa sasa.
 
Hamna upinzani unachukua nchi. Wa mwisho alikua Lowasa. Waliobakia kila siku kuita press kupigana vijembe na kila mtu kumjibu mwenzake. Upinzani una safari ndefu sana
Lowassa aliwahi lini kuwa mpinzani?
 
Lissu hatakaa awe Rais wa nchi hii..hili aliondoe kabisa kichwani mwake.
 
Hivi hua mnawazaga Nini,
Ccm waachie nchi upinzani na mpinzani mwenyew lisu.
 

..track record inakuja na mazuri na mapungufu.

..uwezo mdogo wa Mama Abduli ni changamoto katika kushawishi / kutetea kuhusu mazuri ya track record.

..atalazimika kutumia pesa nyingi sana, na watu wengi, kumtetea, na hiyo itamuumbua kuwa ni dhaifu.

..mgombea lazima ajibebe mwenyewe, na abebe na wengine. Sio yeye awe mzigo wa kubebwa.
 
Kwani Watanzania huwa wanachagua nini?. Wana chagua chama, mgombea wa CCM ndie rais wa JMT, CCM hata ikisimamisha jiwe, jiwe linapita!.

Ila Maza nimemshauri hapa kwenye HII kitu!.
P
 
Lissu kukatiza nafasi ya Mwenyekiti Taifa hawezi itakuwa Rais wa JMT.

Ebu punguza ujinga tarehe 22/01/2025 usikimbie jukwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…