Pre GE2025 Ni dhahiri Lissu ndiye Rais ajaye wa JMT

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii nchi inataka kiongozi mwenye msimamo kama yule jamaa wa Bukina Faso, sio hawa watu kila siku taarabu lakini hawajahi kuongea kuhusu matatizo ya kiuchumi na solutions zake.
Chagueni mtu yoyote kati yao lakini hakuna hata mmoja mwenye pumbu za kusimama kwenye ukweli, wote ni fake tu na wakichaguliwa watakuwa vibaraka kama hawa wa sasa.
Duh 🙄 !
 
Tumsaidie yeye kama yeye kwa maana yeye ni mpango wa Mungu 🙏🙏 !
Ila haki iwepo na ionekane inatendeka !
 
Mzee Paskali.
Hizi calculations za 2030 zina facts?

Mimi naona mwaka huu tutarajie yaaiyotarajiwa
Mwaka huu haitawezekana! Chadema hawapo kwenye utulivu.! wajipange 2030 kuna mageuzi makubwa Sana! Historia inaenda kuwekwa! Huyu LISU akipita hapa hiyo 2030 anachukua URAISI!
 
NB; Hata Tabiri(kwa wale wa kiroho) mbali mbali ambazo zimeongelewa Prophetically ni kwamba 2030 Upinzani wanachukua nchi!
 
Nina hoja
  1. Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono
  2. CCM imeporomoka umaarufu kwa ghafla mno. Hata mkutano Mkuu unaoandaliwa Dodoma umekosa shamsham zake kama ilivyo ada. CCM imepeleka wasanii wengi mkutanoni lakini hakuna Mtanzania anayefuatilia mkutano huo
  3. Idadi ya wanaomuunga mkono Lisu inazidi kuongezeka kilakukicha.
  4. Freeman Mbowe amepoteana kabisa kwa sababu kabla hajachukua fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa, alipochukua na hata aliporejesha fomu ameshindwa kueleza nini ama maboresho gani atayafanya kwenye nafasi anayogombea.
  5. CCM imetumia injini zake zote chafu za mitandaoni. Ukisoma maoni ya wanaCCM lialia wamejikita kumpigia kampeni Mbowe huku wakitimiza jukumu lao la kila siku la kisiasa za majitaka dhidi ya Lisu
  6. Media karibia zote zimejikita kufanya mahojiano na Lisu ambapo amepata nafasi kubwa kuelezea mambo mbalimbali ya kuwafumbua macho na fahamu Watanzania kuhusu nchi yao na haki zao.
Sababu hizo na nyingine zinapelekea kumpa nafasi kubwa sana Tundu Lisu kupata ushindi wa mapema kwenye kinyang'anyiro cha Urais hapo Oktoba.

Adumu rais wetu ajaye ambaye ni Tundu Antipas Lisu
Unajiliwaza sio, hujampata demu siku nyingi eti? Achana na ndoto za alinacha!! Urais hakuupata Lowasa na Mrema, aje aupate hicho kijitu chenu!!!
 
Nina hoja
  1. Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono
  2. CCM imeporomoka umaarufu kwa ghafla mno. Hata mkutano Mkuu unaoandaliwa Dodoma umekosa shamsham zake kama ilivyo ada. CCM imepeleka wasanii wengi mkutanoni lakini hakuna Mtanzania anayefuatilia mkutano huo
  3. Idadi ya wanaomuunga mkono Lisu inazidi kuongezeka kilakukicha.
  4. Freeman Mbowe amepoteana kabisa kwa sababu kabla hajachukua fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa, alipochukua na hata aliporejesha fomu ameshindwa kueleza nini ama maboresho gani atayafanya kwenye nafasi anayogombea.
  5. CCM imetumia injini zake zote chafu za mitandaoni. Ukisoma maoni ya wanaCCM lialia wamejikita kumpigia kampeni Mbowe huku wakitimiza jukumu lao la kila siku la kisiasa za majitaka dhidi ya Lisu
  6. Media karibia zote zimejikita kufanya mahojiano na Lisu ambapo amepata nafasi kubwa kuelezea mambo mbalimbali ya kuwafumbua macho na fahamu Watanzania kuhusu nchi yao na haki zao.
Sababu hizo na nyingine zinapelekea kumpa nafasi kubwa sana Tundu Lisu kupata ushindi wa mapema kwenye kinyang'anyiro cha Urais hapo Oktoba.

Adumu rais wetu ajaye ambaye ni Tundu Antipas Lisu
Nakubaliana na wewe 200%
 
Tanzania kwanza, CCM inafuata
CHADEMA c rahisi kupewa nchi na c CHADEMA tu chama chochote pinzani c rahisi kukabidhiwa inchi coz vyama pinzani havina strong resources za kuweza kuongoza nchi zaidi wakiingia madarakani waanze kujijenga wao kwanza ndipo waje wafikirie wananchi that isn't possible
 
Back
Top Bottom