Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu Lisu imeanza kuonja joto la Mbowe 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DE8ndX6tf_t/?igsh=MWd2YzQ4N3E1YmtyNA==
Ila P uandishi wako unafurahisha Sana. Ili kukuelewa lazima akili isetiwe reversed gear🤣🤣🤣🤣Kwani Watanzania huwa wanachagua nini?. Wana chagua chama, mgombea wa CCM ndie rais wa JMT, CCM hata ikisimamisha jiwe, jiwe linapita!.
Ila Maza nimemshauri hapa kwenye HII kitu!.
P
Chadema ndio chama kikuu cha upinzani! kwa uchaguzi wa Mwaka huu hawana utulivu! Na mchakato wa kushinda huwa unapitia hatua fulani fulani za maandalizi. Nikijaribu kuangalia kwa jicho la tatu Mwaka huu Mama atarudi tena. Ni vema chadema wakawa na long term plans za mwaka 2030.Tupe ufafanuzi wa utafiti wako maana seems unaongea kama mtangaza matokeo ya uchaguzi
Sasa huu nao utaita uchaguzi? Wenzetu huwa mnatumia nini kufikiri?Kumbukumbu zako haziko sawa, kwani Lissu mwaka 2020 si aligombea Urais? Unajua alipata kura asilimia ngapi?
![]()
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020 - Wikipedia, kamusi elezo huru
sw.m.wikipedia.org
Sasa huu nao utaita uchaguzi? Wenzetu huwa mnatumia nini kufikiri?
Tanzania tuna majinga mengi kuliko waelewa, mimi naandikia waelewa, na waelewa wananielewa sana, majinga nayaacha na ujinga wao!.Ila P uandishi wako unafurahisha Sana. Ili kukuelewa lazima akili isetiwe reversed gear🤣🤣🤣🤣
Akiwa raisi atatushitaki MIGA.Nina hoja
Sababu hizo na nyingine zinapelekea kumpa nafasi kubwa sana Tundu Lisu kupata ushindi wa mapema kwenye kinyang'anyiro cha Urais hapo Oktoba.
- Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono
- CCM imeporomoka umaarufu kwa ghafla mno. Hata mkutano Mkuu unaoandaliwa Dodoma umekosa shamsham zake kama ilivyo ada. CCM imepeleka wasanii wengi mkutanoni lakini hakuna Mtanzania anayefuatilia mkutano huo
- Idadi ya wanaomuunga mkono Lisu inazidi kuongezeka kilakukicha.
- Freeman Mbowe amepoteana kabisa kwa sababu kabla hajachukua fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa, alipochukua na hata aliporejesha fomu ameshindwa kueleza nini ama maboresho gani atayafanya kwenye nafasi anayogombea.
- CCM imetumia injini zake zote chafu za mitandaoni. Ukisoma maoni ya wanaCCM lialia wamejikita kumpigia kampeni Mbowe huku wakitimiza jukumu lao la kila siku la kisiasa za majitaka dhidi ya Lisu
- Media karibia zote zimejikita kufanya mahojiano na Lisu ambapo amepata nafasi kubwa kuelezea mambo mbalimbali ya kuwafumbua macho na fahamu Watanzania kuhusu nchi yao na haki zao.
Adumu rais wetu ajaye ambaye ni Tundu Antipas Lisu
Hakuna mpinzani atakayewazidi hawa;-Nina hoja

😂😂😂😂😂 Kibaraka hana uwezo wa kukalia kitiNaona CCM mnahaha kuhakikisha Mbowe anakalia kiti.
Mmnatia huruma na sisi hatuwahurumii
Yupo humu humu anampigia debe Mbowe 🤣🤣🤣Nape amejichimbia wapi ??! 😳
Wamarekani ni vinara wa women empowerment lakini wao wameshindwa kuiishi, ku implement kwa kumeweka rais mwamamke wao sera ni kwa waafrika ndio muimplement wao hapana , kwa nini ? Wanajua udhaifu wa mwanamke vinginevyo wangetoa mfano kwa kuanza kuchagua rais mwanamke.Hili la TAL kushinda urais wa JMT is possible but only if Watanzania tutakuwa wajinga kama Wamarekani!. Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?
Hivyo ili kuzuia
Watanzania tutsifanye
ujingaa kama ule wa
Wamarekani nimeshauri Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?
P
Namuomba Mungu akuweke mpaka baada ya uchaguz lkn amini Mungu kijitu chenu hakiwezi shinda urais wa nchi hii, labda wa TLS, hata marehemu bibi yako huko aliko anafahamu hilo. Usijiliwaze, mtasubir sana kwa siasa mnazofanya!!Usiyempenda ndo Amiri Jeshi Mkuu in waiting
Mkuu,uchaguzi wa kidigitali Kwa malofa wa kiteknolojia kama sisi haufaiBasi huu wa maboksi a.k.a maboski ndio unavitimbwi maradufu.
Eti mkipiga kura mnaondoka halafu wao wakiwa peke yao wanahesabu then wanawatangazia mshindi.
Labda hizo kura ahesabu Yesu.
Ohooo kumbe. ! 😅Yupo humu humu anampigia debe Mbowe 🤣🤣🤣