Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ukiangalia upande ule haonekani mtu yeyote mwenye mvuto na watu watakuwa wameshachoka kabisa !NB; Hata Tabiri(kwa wale wa kiroho) mbali mbali ambazo zimeongelewa Prophetically ni kwamba 2030 Upinzani wanachukua nchi!
Hayo ni maneno kutoka Ccm kwenyewe !Tanzania kwanza, CCM inafuata
CHADEMA c rahisi kupewa nchi na c CHADEMA tu chama chochote pinzani c rahisi kukabidhiwa inchi coz vyama pinzani havina strong resources za kuweza kuongoza nchi zaidi wakiingia madarakani waanze kujijenga wao kwanza ndipo waje wafikirie wananchi that isn't possible
Kabla hajapigwa Risasi alifaa kuwa Rais!Nina hoja
Sababu hizo na nyingine zinapelekea kumpa nafasi kubwa sana Tundu Lisu kupata ushindi wa mapema kwenye kinyang'anyiro cha Urais hapo Oktoba.
- Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono
- CCM imeporomoka umaarufu kwa ghafla mno. Hata mkutano Mkuu unaoandaliwa Dodoma umekosa shamsham zake kama ilivyo ada. CCM imepeleka wasanii wengi mkutanoni lakini hakuna Mtanzania anayefuatilia mkutano huo
- Idadi ya wanaomuunga mkono Lisu inazidi kuongezeka kilakukicha.
- Freeman Mbowe amepoteana kabisa kwa sababu kabla hajachukua fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa, alipochukua na hata aliporejesha fomu ameshindwa kueleza nini ama maboresho gani atayafanya kwenye nafasi anayogombea.
- CCM imetumia injini zake zote chafu za mitandaoni. Ukisoma maoni ya wanaCCM lialia wamejikita kumpigia kampeni Mbowe huku wakitimiza jukumu lao la kila siku la kisiasa za majitaka dhidi ya Lisu
- Media karibia zote zimejikita kufanya mahojiano na Lisu ambapo amepata nafasi kubwa kuelezea mambo mbalimbali ya kuwafumbua macho na fahamu Watanzania kuhusu nchi yao na haki zao.
Adumu rais wetu ajaye ambaye ni Tundu Antipas Lisu
Mnataka kutuletea chizi asiye na sera yoyote zaidi ya domo kubwa kweli? Ila ukilinganisha na huyu wa mkono wa mungu unashindwa uchague nini kati ya matapixxx na mavxxx.Nina hoja
Sababu hizo na nyingine zinapelekea kumpa nafasi kubwa sana Tundu Lisu kupata ushindi wa mapema kwenye kinyang'anyiro cha Urais hapo Oktoba.
- Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono
- CCM imeporomoka umaarufu kwa ghafla mno. Hata mkutano Mkuu unaoandaliwa Dodoma umekosa shamsham zake kama ilivyo ada. CCM imepeleka wasanii wengi mkutanoni lakini hakuna Mtanzania anayefuatilia mkutano huo
- Idadi ya wanaomuunga mkono Lisu inazidi kuongezeka kilakukicha.
- Freeman Mbowe amepoteana kabisa kwa sababu kabla hajachukua fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa, alipochukua na hata aliporejesha fomu ameshindwa kueleza nini ama maboresho gani atayafanya kwenye nafasi anayogombea.
- CCM imetumia injini zake zote chafu za mitandaoni. Ukisoma maoni ya wanaCCM lialia wamejikita kumpigia kampeni Mbowe huku wakitimiza jukumu lao la kila siku la kisiasa za majitaka dhidi ya Lisu
- Media karibia zote zimejikita kufanya mahojiano na Lisu ambapo amepata nafasi kubwa kuelezea mambo mbalimbali ya kuwafumbua macho na fahamu Watanzania kuhusu nchi yao na haki zao.
Adumu rais wetu ajaye ambaye ni Tundu Antipas Lisu
Kabisa mkuu kumbe umeshaliona hilo na wanafanya kimazoea! Upinzani itakua na nguvu sana 2030!Maana ukiangalia upande ule haonekani mtu yeyote mwenye mvuto na watu watakuwa wameshachoka kabisa !
Siku hazigandi !Walisema vivyo hivyo kwa Trump na akachukua
Mama Mpaka 2040, CDM wakimsimamisha Mama tashinda kwa zaidi ya 90%. Kiufupi Mama hashikiki.
Mkuu, hivi Mimi Huwa najiulizaga Kila siku, huu ukuaji wote wa technology, wataalamu hawawezi tengeneza mashine za kupigia kura kidigitari ili kuweka uwazi wa kura zote zinazopigwa kwa Kila mgombea.. ikasaidia kupunguza haya makaratasi na huu wizi wa kura miaka yote.Huo uchaguzi labda uwe wa kidigitali ambapo ukipiga kura yako unaiona ilee imesoma.
Na huo mfumo uwe umetengenezwa na kusimamiwa na wazungu. Sio mnampa Nape kama msimamizi.
Vinginevyo sijui
Point yangu ni kwamba now tunajua vyama pinzani asilimia kubwa hawana permanent office, hawana magari ya kutosha hawana vitegea uchumi kama ccm xo hivyo wanaweza establish vpHayo ni maneno kutoka Ccm kwenyewe !
Strong resources ni Watanzania wenyewe wote kwa pamoja. !
Utawala ukibadilika haina maana wanakuja watu wapya kutoka Nchi nyingine kuendesha Nchi !
Watu watabaki ni wale wale maofisini na sehemu nyingine za kazi watakuwa ni wale wale, wataalamu wa fani mbali mbali watakuwa ni wale wale vyombo vyote vya usalama watakuwa ni wale wale,
Kila mfanyakazi atakuwa pale pale mahali pake pa kazi isipokuwa huko juu ndiko kutakako badilika kidogo !
Sheria ni zile zile mpaka zitakapo fanyiwa marekebisho na Bunge kama ikionekana kuna ulazima wa kufanya hivyo !!
Strong resources zipi unazozisema ?
Labda zile za kutuma watu wawadhalilishe Wazee. ??!!
Duhh!kumbe wamarekani ni wajinga nilikuwa sijui?Hili la TAL kushinda urais wa JMT is possible but only if Watanzania tutakuwa wajinga kama Wamarekani!. Inawezekana Wamarekani ni wajinga ajabu? Wamemchagua mwanaume na kumtosa Mwanamke. 2025 Watanzania tuchague mwanamke kuonesha tuna akili zaidi yao?
Hivyo ili kuzuia
Watanzania tutsifanye
ujingaa kama ule wa
Wamarekani nimeshauri Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii?
P
Nyerere alipochukua Nchi Chama chake kilikuwa na majengo na magari mangapi ?!!!!Point yangu ni kwamba now tunajua vyama pinzani asilimia kubwa hawana permanent office, hawana magari ya kutosha hawana vitegea uchumi kama ccm xo hivyo wanaweza establish vp
Tupe ufafanuzi wa utafiti wako maana seems unaongea kama mtangaza matokeo ya uchaguziMwaka huu haitawezekana! Chadema hawapo kwenye utulivu.! wajipange 2030 kuna mageuzi makubwa Sana! Historia inaenda kuwekwa! Huyu LISU akipita hapa hiyo 2030 anachukua URAISI!
Kwa hiyo Lisu naye ni mnyama au ndo vila unaumia mlishindwa kumuua?Kabla hajapigwa Risasi alifaa kuwa Rais!
Baada ya kupigwa Risasi hapaswi napaswa kuwa chibi ya Rais kicheo aidha PM au makam n.k
Kwanini
Anaumwa hayupo sawa aliumizwa kihisia hajapona ataligharim taifa!!
Nakoment kama mtaalam wa wanyama kisaikolojia na si vinginevyo!!