Habari za wakati huu
Katika awamu zote za korona hapa duniani Tanzania ilizivuka kwa kishindo huku ikimuomba Mungu na njia za kiasili kupambana na janga hili, hakika tulipambana vyema na vita ile tuliishinda.
Dalili zinazochukuliwa na serkali hii si njema sana kwa taifa hili ambalo lilikuwa na utaratibu wake katika kupambana waves mbalimbali za korona
Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima, ndio lockdown inakuja soon
Sisi Waafrika tunataaaabu kweli, wazungu wanaachana na lockdown sisi ndio kwanza tunaelekea huko..hali ya uchumi na maisha ya watanzania inaenda kudhorota