ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Mmh...tabu imeshakuwa fungu la nchi yetu. Mungu tuhurumie sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo avatar achana nayo, tujikite kwenye mada.muwe mnaacha ujinga sehemu nyingine.
huyo uliyemweka avatar japo nayeye nati zimeregea ila hatajisikia vyema akisoma ulichoandika.
ilikuwa kukuweka sawa tu,nextime uwe unatulia kabla hujaamua kupost kitu.Hiyo avatar achana nayo, tujikite kwenye mada.
Habari za wakati huu
Katika awamu zote za korona hapa duniani Tanzania ilizivuka kwa kishindo huku ikimuomba Mungu na njia za kiasili kupambana na janga hili, hakika tulipambana vyema na vita ile tuliishinda.
Dalili zinazochukuliwa na serkali hii si njema sana kwa taifa hili ambalo lilikuwa na utaratibu wake katika kupambana waves mbalimbali za korona
Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima, ndio lockdown inakuja soon
Sisi Waafrika tunataaaabu kweli, wazungu wanaachana na lockdown sisi ndio kwanza tunaelekea huko..hali ya uchumi na maisha ya watanzania inaenda kudhorota
Basi umefeliilikuwa kukuweka sawa tu,nextime uwe unatulia kabla hujaamua kupost kitu.
najua u mzito kichwani ila niko tayari kukusaidia.Basi umefeli
Mseveni mtu wa ovyo sana hizo fund anazopokea ili ku tackle hio pandemic ni kwa personal interest zake ila anatesa Whole country tena mpaka innocent Civilians, Mzee huyu anachekewa sana, Ni circle ndogo ndo inatafuna hizo fundsNilitaka kulia baada ya kuona wananchi wa Uganda wanadai kujua ndugu wanaozikwa na serikali kwa kufa kwa Corona mbona hakuna familia iliyopata msiba?.
Baadaye wananchi wakapaniki kujua ni nani hao wanaozikwa!, Wakaanza kulazimisha kufungua majeneza kujua ni ndugu wa kina nani!.
Wakakuta olah, hakuna maiti wala ndg yake mifupa ni usanii tu wa Museven.
Hiyo tutaifikia tu huko mbele soon, maana kuna mtu kaandika hapo juuu, "Mla cha mwenzie lazima na chake kitaliwa".
Wewe mjane wa mwendazake hapana acha nibaki na huo uzito.najua u mzito kichwani ila niko tayari kukusaidia.
magufuli alishtuka toka mwanzo,kwamba wenzie hawamaanishi kweli kuiogopa corona,bali wana ajenda zao na hiyo corona.akagoma kuwa mnafiki.Mseveni mtu wa ovyo sana hizo fund anazopokea ili ku tackle hio pandemic ni kwa personal interest zake ila anatesa Whole country tena mpaka innocent Civilians, Mzee huyu anachekewa sana, Ni circle ndogo ndo inatafuna hizo funds
Kuna ukweli mkubwa sana hapa.Waafrika wamekariri aya za vitabu, pasipo kujua zilitungwa kwa sababu zipi. Am out
Habari za wakati huu
Katika awamu zote za korona hapa duniani Tanzania ilizivuka kwa kishindo huku ikimuomba Mungu na njia za kiasili kupambana na janga hili, hakika tulipambana vyema na vita ile tuliishinda.
Dalili zinazochukuliwa na serkali hii si njema sana kwa taifa hili ambalo lilikuwa na utaratibu wake katika kupambana waves mbalimbali za korona
Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima, ndio lockdown inakuja soon
Sisi Waafrika tunataaaabu kweli, wazungu wanaachana na lockdown sisi ndio kwanza tunaelekea huko..hali ya uchumi na maisha ya watanzania inaenda kudhorota
Acha wendawazimu wewe!Kama tukishindwa ku-enforce njia ambazo ni very basic za kujikinga na ugonjwa wa kuambukiza kama korona ambazo ni kuvaa barakoa hata ya kitambaa tu kupunguza cycle of transmission na njia za kunawa mikono na kutumia sanitizers, sioni kama tumejiandaa kwa hali mbaya zaidi (worst-case scenario).....
Sawa mama, ukielewa wewe inatosha...Acha wendawazimu wewe!
Transmission gani? eti transmission!! Kwa ugonjwa upi?
Mnapenda kukariri kariri hovyo hata msiyoyaelewa!
Hakuna cha transmission hapa. Umechanganyikiwa tu?