Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe utakuwa ni mfuasi wa mwendazakeHabari za wakati huu
Katika awamu zote za korona hapa duniani Tanzania ilizivuka kwa kishindo huku ikimuomba Mungu na njia za kiasili kupambana na janga hili, hakika tulipambana vyema na vita ile tuliishinda.
Dalili zinazochukuliwa na serkali hii si njema sana kwa taifa hili ambalo lilikuwa na utaratibu wake katika kupambana waves mbalimbali za korona
Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima, ndio lockdown inakuja soon
Sisi Waafrika tunataaaabu kweli, wazungu wanaachana na lockdown sisi ndio kwanza tunaelekea huko..hali ya uchumi na maisha ya watanzania inaenda kudhorota
naona unataka kumkwamisha mamamagufuli alishtuka toka mwanzo,kwamba wenzie hawamaanishi kweli kuiogopa corona,bali wana ajenda zao na hiyo corona.akagoma kuwa mnafiki.
ila sasa bimkubwa nayeye kakataa kupitwa na hizo deals.
Kwani lini hali ya uchumi na maisha ilikua nzuri? wacha uzushi wewe masalia ya mwenda zakeSisi Waafrika tunataaaabu kweli, wazungu wanaachana na lockdown sisi ndio kwanza tunaelekea huko..hali ya uchumi na maisha ya watanzania inaenda kudhorota
naungana na mama anaposema chanjo sio lazima.naona unataka kumkwamisha mama
Acha wasiwasi na kutia hofu wenzako, lockdown nchi nzima ya nini?. Wewe fuata malekezo ya Wizara ya Afya kujikinga na Corona basi endelea na shughuli zako za kujipatia kipato.Habari za wakati huu
Katika awamu zote za korona hapa duniani Tanzania ilizivuka kwa kishindo huku ikimuomba Mungu na njia za kiasili kupambana na janga hili, hakika tulipambana vyema na vita ile tuliishinda.
Dalili zinazochukuliwa na serkali hii si njema sana kwa taifa hili ambalo lilikuwa na utaratibu wake katika kupambana waves mbalimbali za korona
Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima, ndio lockdown inakuja soon
Sisi Waafrika tunataaaabu kweli, wazungu wanaachana na lockdown sisi ndio kwanza tunaelekea huko..hali ya uchumi na maisha ya watanzania inaenda kudhorota
Sijui na yeye ataenda zake lini.Mseveni mtu wa ovyo sana hizo fund anazopokea ili ku tackle hio pandemic ni kwa personal interest zake ila anatesa Whole country tena mpaka innocent Civilians, Mzee huyu anachekewa sana, Ni circle ndogo ndo inatafuna hizo funds
Sasa hivi hawataketei? Corona imeisha? Data zinatolewa?Jabali wakati watu walikuwa wanateketea kwa corona ila hakuna data wala nini kutolewa. Vyombo vya habari vyote vilizibwa mdomo visiandike habari ya corona.
Hivi nyie watu akili zenu kwanini mlimkabidhi mtu aziendeshe?
Ina maana huyu mama hajajua tu maisha ya watanzania yalivyo.
Ina maana hajui ukiwatia lock down itakuwaje?
Corona sio ugonjwa wa kuwafungia wwtu ndani. Hii sio dawa. Dawa ya korona ni chanjo
Wewe ni taahira!Masalia ya Dhulmat yanaangaika sana wanajaribu kushawishi wananchi wamchukie kiongozi wao kila siku wanazusha uongo mpya.
Basi ukijifungua hiyo mimba yake utamsahau tu!Kumsahau Ibilisi kwamba ni kiongozi na mshawishi mkubwa wa kutenda maovu huko ni kujitafutia dhahama mbele ya Mwenyezi Mungu,hivyo haupaswi kumsahau Ibilisi wala hao wafuasi wake kina Firauni laanatullah.
Miss uMataga endeleeni kujipa moyo.
Data ingetolewa watu ndio wangeokoka? Hivi hizo akili mmehamishia makalioni au? Zaidi ingeleta hali ya hofu na watu wangekufa zaidi kwa hofuJabali wakati watu walikuwa wanateketea kwa corona ila hakuna data wala nini kutolewa. Vyombo vya habari vyote vilizibwa mdomo visiandike habari ya corona.
Hivi nyie watu akili zenu kwanini mlimkabidhi mtu aziendeshe?
Data ingetolewa watu ndio wangeokoka? Hivi hizo akili mmehamishia makalioni au? Zaidi ingeleta hali ya hofu na watu wangekufa zaidi kwa hofu