#COVID19 Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima

#COVID19 Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima

Watu wavae barakoa kwanza ndio walaumu na kuogopa lockdown. Utakuta mtu anapinga lockdown wakati hachukui hatua yoyote anataja covid isiwepo bila yeye kuchukua hatua yoyote!
mkuu hao ndio waswahili
 
Back
Top Bottom