#COVID19 Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima

Habari za wakati huu

Katika awamu zote za korona hapa duniani Tanzania ilizivuka kwa kishindo huku ikimuomba Mungu na njia za kiasili kupambana na janga hili, hakika tulipambana vyema na vita ile tuliishinda.

Dalili zinazochukuliwa na serkali hii si njema sana kwa taifa hili ambalo lilikuwa na utaratibu wake katika kupambana waves mbalimbali za korona

Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima, ndio lockdown inakuja soon

Sisi Waafrika tunataaaabu kweli, wazungu wanaachana na lockdown sisi ndio kwanza tunaelekea huko..hali ya uchumi na maisha ya watanzania inaenda kudhorota
JPM atakumbukwa daima kwa hilo.
 
Corona mnaipa promo sana mitandaoni. Ingia mtaani uone. kwenye wananchi 100 hakuna hata mmoja mwenye barakoa.
Siyo hivyo tu mkuu, uliza watu 20 ni yupi anaushuhuda wa ndugu yake wa damu aliyekufa direct kwa viashiria vya corona..ukipata hata watatu njoo unitafute.
 
Genge mwageni RIP zenu hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maana ndo swaga zenu siku hizi.
 
Habari za wakati huu

Katika awamu zote za korona hapa duniani Tanzania ilizivuka kwa kishindo huku ikimuomba Mungu na njia za kiasili kupambana na janga hili, hakika tulipambana vyema na vita ile tuliishinda.

Dalili zinazochukuliwa na serkali hii si njema sana kwa taifa hili ambalo lilikuwa na utaratibu wake katika kupambana waves mbalimbali za korona

Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima, ndio lockdown inakuja soon

Sisi Waafrika tunataaaabu kweli, wazungu wanaachana na lockdown sisi ndio kwanza tunaelekea huko..hali ya uchumi na maisha ya watanzania inaenda kudhorota
Tz tuchukue tahadhari zote lakini si lockdown, watu watakufa njaa kwakuogopa kufa na corona
 
Nilitaka kulia baada ya kuona wananchi wa Uganda wanadai kujua ndugu wanaozikwa na serikali kwa kufa kwa Corona mbona hakuna familia iliyopata msiba?.

Baadaye wananchi wakapaniki kujua ni nani hao wanaozikwa!, Wakaanza kulazimisha kufungua majeneza kujua ni ndugu wa kina nani!.

Wakakuta olah, hakuna maiti wala ndg yake mifupa ni usanii tu wa Museven.

Hiyo tutaifikia tu huko mbele soon, maana kuna mtu kaandika hapo juuu, "Mla cha mwenzie lazima na chake kitaliwa".
Museven ni mhuni
 
Ina maana huyu mama hajajua tu maisha ya watanzania yalivyo.

Ina maana hajui ukiwatia lock down itakuwaje?
Corona sio ugonjwa wa kuwafungia wwtu ndani. Hii sio dawa. Dawa ya korona ni chanjo
 
kwa nchi mbalimbali lockdown ya kwanza ilitumika kufungia watu ndani ili kutoa nafasi kwa wafungaji wa mitambo ya 5G ya internet. ukizingatia ndio inayodaiwa kuwa chanzo cha gonjwa hili. Utakuja kuona tz itaingia tatizo hili in deep mara tu baada ya kuistal au ku up-grade 5G internet. nchi zinazotuzunguka zina kiwango kikubwa cha maambukizi ni zenye 5G. ukitoka lockdown utaikuta 5G ishafungwa tayali. ndio utabroo mapigo. 5g ina mionzi mikali mara elfu kadhaa. ndio inaweza endesha hata magari bila dreva, doctor anaweza fanya oparation akiwa kwake, drones zinatumia hii pia na robots mbalimbali. so tunaponaje?.
Bila shaka unatania, huwezi kuwa serious kwa ulichoandika hapa
 
Mimi naombea hii lockdown ije ili watz angalau tuongee lugha moja!

Yale mataahira ya kule twiter sioni siku hizi yakihimiza kwamba kuna corona sana hapa nchini!
 
OMBI LANGU KWA WATANZANIA WOTE::- TUSHONE BARAKOA ZETU WENYEWE TUSITUMIE HIZO TUNAZOLETEWA NA PENGINE KUUZIWA,TUNAWE MIKONO YETU KWA SABUNI KILA MARA TUOMBE SANA MUNGU WETU.
 
Mimi naombea hii lockdown ije ili watz angalau tuongee lugha moja!

Yale mataahira ya kule twiter sioni siku hizi yakihimiza kwamba kuna corona sana hapa nchini!
Hata kama mataga mmepiga pesa ya mabeberu lockdown tz haiwezekani
 
Mama akituweka lockdown cv yake itashuka sana!!! Lockdown ni upumbavu tu, na hao sijui waziri wa afya na wateule wake ni wanafiki tu wanamheshimu kwa sababu ya hiyo nafasi aliyo nayo, leo akiondoka kwenye hiyo nafasi haohao wataanza kumsema, hivyi kweli kuna uhaba wa ajira, watu maisha ni magumu mtu anategemea bodaboda apate abiria alipe pango, leo umuweke lockdown kisa ugonjwa ambao haujulikani unaisha lini!! Ni ujinga wa hali ya juu!! Hao mawaziri wanalipwa mamilioni ya fedha wao hawaoni shida za wananchi ,tuache mambo ya kipuuzi
 
Hakika Magufuli alikuwa Jabali la karne.Mungu ni Mwema
Jabali wakati watu walikuwa wanateketea kwa corona ila hakuna data wala nini kutolewa. Vyombo vya habari vyote vilizibwa mdomo visiandike habari ya corona.

Hivi nyie watu akili zenu kwanini mlimkabidhi mtu aziendeshe?
 
Habari za wakati huu

Katika awamu zote za korona hapa duniani Tanzania ilizivuka kwa kishindo huku ikimuomba Mungu na njia za kiasili kupambana na janga hili, hakika tulipambana vyema na vita ile tuliishinda.

Dalili zinazochukuliwa na serkali hii si njema sana kwa taifa hili ambalo lilikuwa na utaratibu wake katika kupambana waves mbalimbali za korona

Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima, ndio lockdown inakuja soon

Sisi Waafrika tunataaaabu kweli, wazungu wanaachana na lockdown sisi ndio kwanza tunaelekea huko..hali ya uchumi na maisha ya watanzania inaenda kudhorota
Katika njia za kuchukua kupambana na magonjwa ya aina hii. Lock down ni njia ya kwanza kabisa kuchukuliwa, yaani kabla kirusi hakija tapaka zaidi mtaani, na hauweki tu lockdown ukatulia zako kusubiri ugonjwa uishe. Kinachofata ni ku contain the virus

Sasa ni kichaa tu ndio anaweza kuweka lockdown Nchi hii kwa sasa kwa sababu zifuatazo:

[emoji117]Hatupimi watu wetu wala kufanya contact tracing, so hakuna kanzi data inayo tuonyesha kirusi kina sambaa kwa kiasi gani. Hata hivo haijulikani nchi nzima wapi maambukizi yamezidi.

[emoji117]Kirusi kimesha sambaa nchi nzima, tafsiri yake huwezi kusema unazuia maambukizi wakati tayari watu washaugua na kupona kutoka kwa hicho kirusi.

So kwa sasa hivi, kirusi hiki kitaendelea kua endemic apa kwetu na tutaishi nao kwa muda mrefu. Njia pekee ya kuchukua ni Vaccination peke ake inatutosha.

Cha msingi ni kua makini na the so called third wave, Maana ikitokea virus ame badirika ili awe hatari zaidi basi hari itakua mbaya kwetu. Ila kwa hiki kirusi saiv hali sio mbaya kabisa.

#Narudia: ni kichaa tu ndo ata shauri tanzania kuingia kwenye lockdown kwa sasa.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Habari za wakati huu

Katika awamu zote za korona hapa duniani Tanzania ilizivuka kwa kishindo huku ikimuomba Mungu na njia za kiasili kupambana na janga hili, hakika tulipambana vyema na vita ile tuliishinda.

Dalili zinazochukuliwa na serkali hii si njema sana kwa taifa hili ambalo lilikuwa na utaratibu wake katika kupambana waves mbalimbali za korona

Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima, ndio lockdown inakuja soon

Sisi Waafrika tunataaaabu kweli, wazungu wanaachana na lockdown sisi ndio kwanza tunaelekea huko..hali ya uchumi na maisha ya watanzania inaenda kudhorota
Hakuna kitu kama hiko
 
kwa nchi mbalimbali lockdown ya kwanza ilitumika kufungia watu ndani ili kutoa nafasi kwa wafungaji wa mitambo ya 5G ya internet. ukizingatia ndio inayodaiwa kuwa chanzo cha gonjwa hili. Utakuja kuona tz itaingia tatizo hili in deep mara tu baada ya kuistal au ku up-grade 5G internet. nchi zinazotuzunguka zina kiwango kikubwa cha maambukizi ni zenye 5G. ukitoka lockdown utaikuta 5G ishafungwa tayali. ndio utabroo mapigo. 5g ina mionzi mikali mara elfu kadhaa. ndio inaweza endesha hata magari bila dreva, doctor anaweza fanya oparation akiwa kwake, drones zinatumia hii pia na robots mbalimbali. so tunaponaje?.
Mkuuu huko china washaanza kufanya majaribio ya 6G. [emoji849][emoji849]

Back
Top Bottom