#COVID19 Ni dhahiri njia inayofuata kupendekezwa na wataalamu wa afya ni lockdown nchi nzima

JPM atakumbukwa daima kwa hilo.
 
Corona mnaipa promo sana mitandaoni. Ingia mtaani uone. kwenye wananchi 100 hakuna hata mmoja mwenye barakoa.
Siyo hivyo tu mkuu, uliza watu 20 ni yupi anaushuhuda wa ndugu yake wa damu aliyekufa direct kwa viashiria vya corona..ukipata hata watatu njoo unitafute.
 
Genge mwageni RIP zenu hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maana ndo swaga zenu siku hizi.
 
Tz tuchukue tahadhari zote lakini si lockdown, watu watakufa njaa kwakuogopa kufa na corona
 
Museven ni mhuni
 
Ina maana huyu mama hajajua tu maisha ya watanzania yalivyo.

Ina maana hajui ukiwatia lock down itakuwaje?
Corona sio ugonjwa wa kuwafungia wwtu ndani. Hii sio dawa. Dawa ya korona ni chanjo
 
Bila shaka unatania, huwezi kuwa serious kwa ulichoandika hapa
 
Mimi naombea hii lockdown ije ili watz angalau tuongee lugha moja!

Yale mataahira ya kule twiter sioni siku hizi yakihimiza kwamba kuna corona sana hapa nchini!
 
OMBI LANGU KWA WATANZANIA WOTE::- TUSHONE BARAKOA ZETU WENYEWE TUSITUMIE HIZO TUNAZOLETEWA NA PENGINE KUUZIWA,TUNAWE MIKONO YETU KWA SABUNI KILA MARA TUOMBE SANA MUNGU WETU.
 
Mimi naombea hii lockdown ije ili watz angalau tuongee lugha moja!

Yale mataahira ya kule twiter sioni siku hizi yakihimiza kwamba kuna corona sana hapa nchini!
Hata kama mataga mmepiga pesa ya mabeberu lockdown tz haiwezekani
 
Mama akituweka lockdown cv yake itashuka sana!!! Lockdown ni upumbavu tu, na hao sijui waziri wa afya na wateule wake ni wanafiki tu wanamheshimu kwa sababu ya hiyo nafasi aliyo nayo, leo akiondoka kwenye hiyo nafasi haohao wataanza kumsema, hivyi kweli kuna uhaba wa ajira, watu maisha ni magumu mtu anategemea bodaboda apate abiria alipe pango, leo umuweke lockdown kisa ugonjwa ambao haujulikani unaisha lini!! Ni ujinga wa hali ya juu!! Hao mawaziri wanalipwa mamilioni ya fedha wao hawaoni shida za wananchi ,tuache mambo ya kipuuzi
 
Hakika Magufuli alikuwa Jabali la karne.Mungu ni Mwema
Jabali wakati watu walikuwa wanateketea kwa corona ila hakuna data wala nini kutolewa. Vyombo vya habari vyote vilizibwa mdomo visiandike habari ya corona.

Hivi nyie watu akili zenu kwanini mlimkabidhi mtu aziendeshe?
 
Katika njia za kuchukua kupambana na magonjwa ya aina hii. Lock down ni njia ya kwanza kabisa kuchukuliwa, yaani kabla kirusi hakija tapaka zaidi mtaani, na hauweki tu lockdown ukatulia zako kusubiri ugonjwa uishe. Kinachofata ni ku contain the virus

Sasa ni kichaa tu ndio anaweza kuweka lockdown Nchi hii kwa sasa kwa sababu zifuatazo:

[emoji117]Hatupimi watu wetu wala kufanya contact tracing, so hakuna kanzi data inayo tuonyesha kirusi kina sambaa kwa kiasi gani. Hata hivo haijulikani nchi nzima wapi maambukizi yamezidi.

[emoji117]Kirusi kimesha sambaa nchi nzima, tafsiri yake huwezi kusema unazuia maambukizi wakati tayari watu washaugua na kupona kutoka kwa hicho kirusi.

So kwa sasa hivi, kirusi hiki kitaendelea kua endemic apa kwetu na tutaishi nao kwa muda mrefu. Njia pekee ya kuchukua ni Vaccination peke ake inatutosha.

Cha msingi ni kua makini na the so called third wave, Maana ikitokea virus ame badirika ili awe hatari zaidi basi hari itakua mbaya kwetu. Ila kwa hiki kirusi saiv hali sio mbaya kabisa.

#Narudia: ni kichaa tu ndo ata shauri tanzania kuingia kwenye lockdown kwa sasa.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu kama hiko
 
Mkuuu huko china washaanza kufanya majaribio ya 6G. [emoji849][emoji849]

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…