Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Majirani zetu tumewashika pabaya: gemu yenu mlituuzia kwa ngapi vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amenishangaza nimekosa hata jibu la kumpaYani broo kumbe wew syo kabisa nasubutu kukuambia wew ni mjinga cozi katika kampuni bora za kubet duniani sidhani kma 1xbet kuna ambaye anaweza kujilinganisha kwa kila kitu hao sportpesa wako wa uchochoron broo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa kuniita mjinga nami nikubandike moja wewe ni Zumbukuku.Yani broo kumbe wew syo kabisa nasubutu kukuambia wew ni mjinga cozi katika kampuni bora za kubet duniani sidhani kma 1xbet kuna ambaye anaweza kujilinganisha kwa kila kitu hao sportpesa wako wa uchochoron broo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio punguani namba moja..yani nimuhukumu mtoto wangu wakumzaa kifungo cha maisha wakati ninauwezo wakupendisha sheria akawa huru??Mtakuja kufa kwa presha bure kuinanga Simba, unatakiwa utambue kuwa ni jukumu la kila timu kufungwa na Simba SC.
Hao wenye Kampuni la betting unaweza kukuta hata uwanja wa stand pale shinyanga hawaujui, TFF wapo, bodi ya ligi ipo wasione waje kuona 1x bet? wewe ni zwazwa ama punguani?
Wewe ndio punguani namba moja..yani nimuhukumu mtoto wangu wakumzaa kifungo cha maisha wakati ninauwezo wakupendisha sheria akawa huru??
Acha uboya wew hao tff wote simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza mihemko chura, una ushahidi?
Kaka Pole Sana unateseka Sana siku hizi,Yanga mmelalamika kipindi kirefu tangu lini??wakati ule hesabu zikipigwa hata tukishinda zote sisi Simba bado tulikuwa nyuma yenu kwa point 5 mlikuwa mnalalamika Simba wananunua??baada ya kuwafunga mlipoona hesabu zikipigwa tunawapita point 5 ndio mmepagawa na kulalama muda wote!!#KilaMtuAshindeMechiZakeTutapigianaHesabuTukiwaKileleniBaada ya mashabiki na wanachama wa yanga kulalamika kwa kipindi kirefu kuwa ligi yetu inavitendo visivyo vya kiungwana(michezo ya pesa) hatua sasa zimeanza kuchukuliwa...
Makuampuni makubwa ya betting yaliokuwa yanaweka game za tpl yameacha kuziweka rasmi....
Kwa wale wazee wa mikeka ni dhahiri mliona wkend hii 1xbet waliacha kuweka game za tpl.
Hii ni ishara mbaya sana kwa ligi yetu haiaminiki tena.
Mikia achaneni na mambo ya miamala chezeni mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo 1xbet wakiacha kuweka ndio tuseme kuwa ligi yetu inarushwa?? Tumia akili kidogo basiUmejiuliza kwann 1xbet wamecha ghafla kuziweka?
Achana na hao maskini hata game kubwa za ulaya nyingine hawaweki hao ni kampuni njaa hata ukila milion 2 hadi uongozi wa juu unajulishwa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo unataka kusema simba wananunua mechi?Screenshot game za wkend hii ulete hapa...sio simba,mtibwa,yanga wala nani aliwekwa kule 1xbet
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio umedhihirisha akili yako fupi sana... Ndio maana mpira hauendelei kwa akili kama hiziWewe ndio punguani namba moja..yani nimuhukumu mtoto wangu wakumzaa kifungo cha maisha wakati ninauwezo wakupendisha sheria akawa huru??
Acha uboya wew hao tff wote simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa ushahidi acha kelele..Hakuna haja ya ushahidi mambo yapo wazi kabisa...malinzi alijaribu sana kubalance mambo lakini huyu mwanachama wa.simba kashindwa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemjubu vizuri sanaKaka Pole Sana unateseka Sana siku hizi,Yanga mmelalamika kipindi kirefu tangu lini??wakati ule hesabu zikipigwa hata tukishinda zote sisi Simba bado tulikuwa nyuma yenu kwa point 5 mlikuwa mnalalamika Simba wananunua??baada ya kuwafunga mlipoona hesabu zikipigwa tunawapita point 5 ndio mmepagawa na kulalama muda wote!!#KilaMtuAshindeMechiZakeTutapigianaHesabuTukiwaKileleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna haja ya ushahidi mambo yapo wazi kabisa...malinzi alijaribu sana kubalance mambo lakini huyu mwanachama wa.simba kashindwa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
real mwanangu umeamua kujitoa akiliScreenshot game za wkend hii ulete hapa...sio simba,mtibwa,yanga wala nani aliwekwa kule 1xbet
Sent using Jamii Forums mobile app