Ni dhahiri sasa TPL inahusishwa na kashfa za upangaji wa matokeo

Ni dhahiri sasa TPL inahusishwa na kashfa za upangaji wa matokeo

Yani broo kumbe wew syo kabisa nasubutu kukuambia wew ni mjinga cozi katika kampuni bora za kubet duniani sidhani kma 1xbet kuna ambaye anaweza kujilinganisha kwa kila kitu hao sportpesa wako wa uchochoron broo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa kuniita mjinga nami nikubandike moja wewe ni Zumbukuku.
.
1Xbet ni cosponsor wa timu ya Tottenham ya EPL wakati Sportpesa ni main sponsor wa Everton Fc na wanafanya kazi worldwide sasa naomba uelezee huo uchochoro wa kampuni ya sportpesa
 
Mtakuja kufa kwa presha bure kuinanga Simba, unatakiwa utambue kuwa ni jukumu la kila timu kufungwa na Simba SC.

Hao wenye Kampuni la betting unaweza kukuta hata uwanja wa stand pale shinyanga hawaujui, TFF wapo, bodi ya ligi ipo wasione waje kuona 1x bet? wewe ni zwazwa ama punguani?
 
Wewe ndio punguani namba moja..yani nimuhukumu mtoto wangu wakumzaa kifungo cha maisha wakati ninauwezo wakupendisha sheria akawa huru??

Acha uboya wew hao tff wote simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya mashabiki na wanachama wa yanga kulalamika kwa kipindi kirefu kuwa ligi yetu inavitendo visivyo vya kiungwana(michezo ya pesa) hatua sasa zimeanza kuchukuliwa...

Makuampuni makubwa ya betting yaliokuwa yanaweka game za tpl yameacha kuziweka rasmi....

Kwa wale wazee wa mikeka ni dhahiri mliona wkend hii 1xbet waliacha kuweka game za tpl.

Hii ni ishara mbaya sana kwa ligi yetu haiaminiki tena.

Mikia achaneni na mambo ya miamala chezeni mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Pole Sana unateseka Sana siku hizi,Yanga mmelalamika kipindi kirefu tangu lini??wakati ule hesabu zikipigwa hata tukishinda zote sisi Simba bado tulikuwa nyuma yenu kwa point 5 mlikuwa mnalalamika Simba wananunua??baada ya kuwafunga mlipoona hesabu zikipigwa tunawapita point 5 ndio mmepagawa na kulalama muda wote!!#KilaMtuAshindeMechiZakeTutapigianaHesabuTukiwaKileleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani akili za wanayanga bwana,,mpira ni mchezo wawazi .kwa uwelewa wangu mechi zote zimekuwa na ushindani mkubwa angalia mechi simba na yanga wanavyocheza na timu nyingne jinsi wanavyokamiwa...sasa hapo nani anatoa pesa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Pole Sana unateseka Sana siku hizi,Yanga mmelalamika kipindi kirefu tangu lini??wakati ule hesabu zikipigwa hata tukishinda zote sisi Simba bado tulikuwa nyuma yenu kwa point 5 mlikuwa mnalalamika Simba wananunua??baada ya kuwafunga mlipoona hesabu zikipigwa tunawapita point 5 ndio mmepagawa na kulalama muda wote!!#KilaMtuAshindeMechiZakeTutapigianaHesabuTukiwaKileleni

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemjubu vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna haja ya ushahidi mambo yapo wazi kabisa...malinzi alijaribu sana kubalance mambo lakini huyu mwanachama wa.simba kashindwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo akiwabeba yanga ndo anabalance mambo? wale jamaa wamemchezesha mtu mwenye njano 3 na still mkapewa ubingwa dadeki!! Mpira uwanjani ukiambiwa u justify kubebwa kwetu utaweza?

Vipi muamala wa yondani ulikua shi ngapi vile? Nkana je? Mbabane swallows? Al ahly je?
 
Back
Top Bottom