Ni dhahiri Yanga inataka kuleta fujo kwenye soka la Tanzania, Ikemewe

Ni dhahiri Yanga inataka kuleta fujo kwenye soka la Tanzania, Ikemewe

Mimi nakuuliza kuhusu huyo Chama iwapo yuko huko Uturuki! Na wewe unaniuliza tena swali! Badala ya kujibu.
Swali lako halina Afya kwasababu lengo lake ni kuonesha "kuna tatizo kati ya Club na Chama" kwa kitendo hicho cha Chama kubaki Dar.

Mi nakuambia tu kuwa waliobaki ni wengi sio Chama peke yake.

Wengine wapo makwao hata hawajafika, wengine hata hawajatambukishwa.

So anza kuwafikiria na hao kwanini hawapo Uturuki
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Mkuu kwani mmebomolewa?
Soka ni biashara. Kama Chama ameona anakoitwa kuna maslahi kwanini asiende? Muongezeeni Dau tu..!!
 
Mi mwenyewe sijui mkuu
Nasikia tu makolo wanashangilia kua wamempoka Yanga mchezaji
Huenda ikawa ni Fabrice Ngoma maana ndie aliekuwa na tetesi kuja kucheza bongo
Utopolo kafungiwa kusajili miaka mitatu
 
Swali lako halina Afya kwasababu lengo lake ni kuonesha "kuna tatizo kati ya Club na Chama" kwa kitendo hicho cha Chama kubaki Dar.

Mi nakuambia tu kuwa waliobaki ni wengi sio Chama peke yake.

Wengine wapo makwao hata hawajafika, wengine hata hawajatambukishwa.

So anza kuwafikiria na hao kwanini hawapo Uturuki
Ungewataja waliobaki wote
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Kama Chama bado ana mkataba na Yanga wamemfuata direct huo ni Uzuzu. Ni Uzuzu Kwa sababu kanuni haziruhusu na ni uchokozi usio na faida lakini Una gharama ya kulipa kwao.
Wakati wa suala la Feisal na Azam nilisema na narudia kusema uhuni wa Aina Ile unatakiwa kukemewa.
 
Hivi wakati wa Fei Toto, we si ulifurahia hatari..!! Kula chuma hichoo..!!
 
Kama Chama bado ana mkataba na Yanga wamemfuata direct huo ni Uzuzu. Ni Uzuzu Kwa sababu kanuni haziruhusu na ni uchokozi usio na faida lakini Una gharama ya kulipa kwao.
Wakati wa suala la Feisal na Azam nilisema na narudia kusema uhuni wa Aina Ile unatakiwa kukemewa.
Inategemea na vipengele vya mkataba vimesemaje
 
Sasa si mnatakiwa kupuuzia hiyo taarifa, kama Yanga haina uwezo wa kumsajili huyo Chama! Inakuwaje sasa mnapaniki?
Utopolo hawana cash sahizi za kumnunua chama utopolo yeye ni kuchukua wachezaji waliomaliza mkataba wa sekenke
 
Yanga walifungiwa na Fifa kwa kutolipa faini ya Sh 300M.

Yanga princess walikuwa na mgomo kufuatia kutolipwa mishahara pamoja na signing fee.

Yanga imeshindwa kwenda nje kuweka kambi kwa ajili ya pre season kwasababu ya Ukata.

Yanga imekuwa kama community ya wazee kila siku vikao kujadili namna ya kumbakisha Mayele huku mchezaji mwenyewe akitaka kulipwa M40 per month.

Halafu thamani ya Chama ni 2.3B.

Unategemea hiyo hela ilipwe kutoka kwenye mfuko gani?

Ishu ya Chama wengine tushaanza kuzoea maana kila msimu wa usajili lazima kuwe na tetesi zake.

Yanga wanaokaa vikao kila muda kumjadili Mayele aliyewafanyia makubwa na kushindwa kufika muafaka ndio uwategemee wamnunue Chama kwa 2.3 B?
Jipe moyo tu,chama hana mkataba na makolo
 
Inategemea na vipengele vya mkataba vimesemaje
Masharti ya Mkataba hayawezi kwenda nje ya kanuni za FIFA. Timu imsajili mchezaji June,2023 halafu mkataba useme muda wowote ukipata timu wewe nenda?
 
Jipe moyo tu,chama hana mkataba na makolo
Screenshot_20230713-163248.png
 
Sasa ni kosa Yanga kufanya hivyo? Mbn Feisal na Azam walifanya hivyo, ujinga ujinga wenu ndio huo unawafikisha hapo mlipo
Mkuu muangalie huyu alivyoongea kwa uchungu,kwa feisal ilikua aachiwe kwa ajili maisha yake ya baadae na familia yake,kwa mayele alidai akatafute changamoto nyingine kwa chama anadai aangalie mashabiki,hawa makolo akili hawana kabisa
 
Attachments

  • VID-20230713-WA0034.mp4
    19.1 MB
Masharti ya Mkataba hayawezi kwenda nje ya kanuni za FIFA. Timu imsajili mchezaji June,2023 halafu mkataba useme muda wowote ukipata timu wewe nenda?
Vipengele vya mkataba kwenye kuvunja mkataba ndio vinavyotoa hiyo haki.

Kumbuka FIFA nao wanatambua sheria za mikataba ambazo mchezaji na Club wamekubaliana.
 
Vipengele vya mkataba kwenye kuvunja mkataba ndio vinavyotoa hiyo haki.

Kumbuka FIFA nao wanatambua sheria za mikataba ambazo mchezaji na Club wamekubaliana.
Kwa hiyo kwenye mkataba wa Yanga na Fei FIFA walikuwa hawa tambui sheria za mchezaji na club.

Alicho kifanya Fei mlikuwa mnakifurahia (ngojea kwanza tu TBT thread za Fei) ,ila Chama anataka kufanya kama alicho kifanya Fei cha ajabu mnaanza kulalamika,japo jambo lenyewe ni tetesi.

Uhuni haukubariki haijalishi kama utatokea kwa Simba au Yanga.
 
Ndio walilipa hilo tunajua ila usumbufu wa kumzungusha Lucy Eymael ndio naouzungumzia hapa.

Mlilipa nje ya muda ambao mlipangiwa, na malipo yalikuwa na faini.

Kama Club iliweza kusuasua kufanya malipo kwenye pesa ndogo kama ile, je hii 2.3B ambayo hata kwenye mauzo ya jezi hawaipati unafikiri wataweza?
Simba huwa hamjielewi kama viongozi wenu tu! Hii issue mbona inatolewa ufafanuzi na TFF zamani tu kwamba Yanga walishafabya malipo kama walivyoagizwa na FIFA ndani ya siku 45 tangu waachane na kocha wao! Shida ilikuwa kwenye system ya FIFA, wao walikuwa wanatumia e-mail kumbe FIFA ilishaachana na utaratibu huo kitambo! Kama wamefungiwa kusajili mbona wanatangaza wachezaji wapya?
 
Back
Top Bottom