Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Swali lako halina Afya kwasababu lengo lake ni kuonesha "kuna tatizo kati ya Club na Chama" kwa kitendo hicho cha Chama kubaki Dar.Mimi nakuuliza kuhusu huyo Chama iwapo yuko huko Uturuki! Na wewe unaniuliza tena swali! Badala ya kujibu.
Mi nakuambia tu kuwa waliobaki ni wengi sio Chama peke yake.
Wengine wapo makwao hata hawajafika, wengine hata hawajatambukishwa.
So anza kuwafikiria na hao kwanini hawapo Uturuki