Ni dhahiri Yanga inataka kuleta fujo kwenye soka la Tanzania, Ikemewe

Ni dhahiri Yanga inataka kuleta fujo kwenye soka la Tanzania, Ikemewe

Ndio hapo Sasa
Yanga omba omba hela watoe wapi ?
Si mnaona mpaka wameporwa na Simba mchezaji pale airport
Simba inajipa pressure bure
Wewe na akili zote mkuu na kusoma kwako kote na maarifa yote Mungu amekupa
Na wazazi wazuri wakakusomesha
Unaamini mchezaji anaweza porwa airport zama hizi
Usiniangushe basi [emoji23][emoji23]
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
asa we umeona chama nae mchezaji wa maaaana mpk utumwagie povu lote hilo,na usajili wote ule mliofanya bado mnamuwaza chama tu!!!
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
hivi lile sakata la morisson kutoka yanga kwenda Simba lilikuwaje vile!?,
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Tushazoea huu utopolo.
 
Kwani si tulikubaliana mchezaji akitaka kuhamia timu nyingine anaweza kununua mkataba wake na kuondoka! Yaani kama alivyotaka kufanya Fei Toto kipindi kile!!

Sasa unataka tukae mezani kufanya nini tena?
[emoji23][emoji23][emoji23]Unafumua shono kabisa!.
 
Kwa hiyo kwenye mkataba wa Yanga na Fei FIFA walikuwa hawa tambui sheria za mchezaji na club.

Alicho kifanya Fei mlikuwa mnakifurahia (ngojea kwanza tu TBT thread za Fei) ,ila Chama anataka kufanya kama alicho kifanya Fei cha ajabu mnaanza kulalamika,japo jambo lenyewe ni tetesi.

Uhuni haukubariki haijalishi kama utatokea kwa Simba au Yanga.
Unaloliwaza haliwezi kutokea.

Ishu ya Yanga na Feisal ilikuwa ni hujma za viongozi wa Club ya kutaka kutunishiana misuli na dogo.

Kuhusu Chama hii sio mara ya kwanza kuwa na sintofahamu kama hii.
 
yanga-pc.jpg
Msinambie hiyo ni busu, huyu jamaa ananusa jezi..

Bila shaka na chafya alipiga
 
Watanzania walivyo wajinga wanaona chama ni bonge la mchezaji yaani yule ajib akiamua kucheza mpira chama hata benchi hakai
 
Mchezaji ana miaka 32 ya kiafrika ana thamani ya 2.3B? Kua serious basi
Mzinze na Chama, mkubwa nani?

Je utakubali kuwa Chama amezidiwa market value na Mzinze?

Yapo mazingira ambayo umri hau determine thamani ya mchezaji na ndio maana Ronaldo mwenye 35 anaongoza kuchukua mpunga mrefu kuliko Mbappe mwenye 24
 
sijui niseme huna akili au unajifanya huna akili
 
Yamkini inshu ya chezaji kutekeshwa eyapoti na hii zote zinaletwa kuwazubaisha mashabiki watu wafanye yao😂
 
Mzinze na Chama, mkubwa nani?

Je utakubali kuwa Chama amezidiwa market value na Mzinze?

Yapo mazingira ambayo umri hau determine thamani ya mchezaji na ndio maana Ronaldo mwenye 35 anaongoza kuchukua mpunga mrefu kuliko Mbappe mwenye 24
Ndio maana nakwambia huna akili mshahara una husiana nini na ni market value? Sokoni sasa hivi Ronaldo ana 15M£ lakini mshahara hakuna anae mfikia kaulize mshahara wa Edin Hazard na market value yake pale Real Madrid, hivi kati ya Chama yule wa kipindi kile anaenda Morocco na huyu wa sasa yupi mwenye thamani?
 
Kuna tetesi kuwa CHADEMA wanawaomba msamaha kina Mdee na wenzake Covid19.
 
Wewe na akili zote mkuu na kusoma kwako kote na maarifa yote Mungu amekupa
Na wazazi wazuri wakakusomesha
Unaamini mchezaji anaweza porwa airport zama hizi
Usiniangushe basi [emoji23][emoji23]
Kwanini asiporwe sasa mbona kawaida sana hiyoo!!mkuu usnambie hujawahi skia fitina za mpira?
 
Mkuu kumbe wewe ni Utopolo. Next time uwe unakuja inbox nakusaidia ili usijiaibishe
 
Back
Top Bottom