Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Wewe na akili zote mkuu na kusoma kwako kote na maarifa yote Mungu amekupaNdio hapo Sasa
Yanga omba omba hela watoe wapi ?
Si mnaona mpaka wameporwa na Simba mchezaji pale airport
Simba inajipa pressure bure
Na wazazi wazuri wakakusomesha
Unaamini mchezaji anaweza porwa airport zama hizi
Usiniangushe basi [emoji23][emoji23]