Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Mizimu na maandiko ya mungu wapi na wapi?Mwanamke kikawaida anaishi na mzimu wa kila mwanaume alotoka nae sasa mwanamke ambae alisholewa kivuli Cha mume hua hakitoki bila sababu ya msingi ya kuachana inayokubalika kimaandiko ya Mungu
It's my opinion i.e. maamuzi yangu in swahili. Hujalazimishwa kuyaamini boss na kuoa sitaoa nikiwa mgane kwasababu kumuweka mwanamke mwingine akae inline na vision yangu hiyo nguvu sitoiweza. Shaping a partner akae inline with one's vision ni ngumu sana tena sana ndio maana hata huyu niliyenaye mahusiano yakishindikana, issue ya kufunga ndoa naachana nayo kabisa. Nimeshachoka, sitafuti starehe kwenye ndoa bali utimilifu wa majukumu ya kiutu uzima.
Tutaaminije kuwa unayosema ni kweli?, humu jamiiforum mtu akikwazana na Malaya wake huko anakuja kusigina mitandaoni
Huna tofauti na Ile mijimama shapeless inavyowazibia riziki wadada wazuri wenye figure zao mjini utaskia wanaume wote ni mbwaaa
Umejieleza sana MkuuIt's my opinion i.e. maamuzi yangu in swahili. Hujalazimishwa kuyaamini boss na kuoa sitaoa nikiwa mgane kwasababu kumuweka mwanamke mwingine akae inline na vision yangu hiyo nguvu sitoiweza. Shaping a partner akae inline with one's vision ni ngumu sana tena sana ndio maana hata huyu niliyenaye mahusiano yakishindikana, issue ya kufunga ndoa naachana nayo kabisa. Nimeshachoka, sitafuti starehe kwenye ndoa bali utimilifu wa majukumu ya kiutu uzima.
Una hoja, hupaswi kupuuzwa hata kidogo.Siamini kama kuna mtu kujifunza kutokana na ndoa iliyovunjika hivyo ataiweza kuijenga vyema ijayo. Siamini kamwe, hivyo bora nianzishe mwenyewe nijue nilivunda mwenyewe nasi kusema binti wawatu kumbe hakubadilika bado. Maana hata kama aliyemuacha ndiye mwenye shida mfano muhuni ila alifikia kufanya maamuzi magumu ya kuolewa na muhuni basi hajui kushughulisha kichwa chake katika maamuzi muhimu ya maisha yake, hivyo siamini mtu huyo hubadilika. We live once then make better decisions if not best for your life.
Eti hakushughulisha kichwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siamini kama kuna mtu kujifunza kutokana na ndoa iliyovunjika hivyo ataiweza kuijenga vyema ijayo. Siamini kamwe, hivyo bora nianzishe mwenyewe nijue nilivunda mwenyewe nasi kusema binti wawatu kumbe hakubadilika bado. Maana hata kama aliyemuacha ndiye mwenye shida mfano muhuni ila alifikia kufanya maamuzi magumu ya kuolewa na muhuni basi hajui kushughulisha kichwa chake katika maamuzi muhimu ya maisha yake, hivyo siamini mtu huyo hubadilika. We live once then make better decisions if not best for your life.
Tabia haina dawaKwahiyo mnaleta nuksi na mambo ya tabia ya, tafsiri ya kuachana ni mmeshindwana tabia au mwenendo.
Kwa hiyo tuwafumue tu 0715?Habarini nyote,
Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo.
Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi.
Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari.
Yangu ni hayo tu.