Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

Kuna mwanamke hadi unafika kumwoa hajaachika kweli, au una mawazo ya kitoto. Mwanamke yeyote kama sio bikra ujue ni ex wa mwanaume mwingine so hakuna unachokwepa ni sawa kukimbia bomba la mvua ukaenda kunyeshewa mvua nje
 
Mwanamke kikawaida anaishi na mzimu wa kila mwanaume alotoka nae sasa mwanamke ambae alisholewa kivuli Cha mume hua hakitoki bila sababu ya msingi ya kuachana inayokubalika kimaandiko ya Mungu
Mizimu na maandiko ya mungu wapi na wapi?
 
Kadili dunia inavyozidi kwenda wanaume wanazidi kuisha.....

Mwanaume kujenga ngome si kazi rahisi,mwanaume kujenga ngome ni vita....

Yaani kitendo cha kuondoka dunia ukaacha familia [wake/mke na watoto] wapo vzuri...[kula,kuvaa na maladhi] si jambo dogo linahitaji ujasiri na kujiamini mbali mipango.

Yaani bikra haifanye mwanaume achelewe kufa dhidi ya mwanamke wala haileti pesa kwa familia pindi ukishaenda kwa muumba....hakikisha unatimiza majukumu yao sawasawa na kuwa na misimamo ao wanaokupenda ata wanne ila hakikisha unatimiza majukumu yako kama mwanaume.

Jenga ngome,timiza majukumu yako ili ukifa uache ukoo uwe na furaha na amani....ukikosa bikra duniani utazikuta mbinguni.
 
Vipi wewe ukiwa mgane
Hautaoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
It's my opinion i.e. maamuzi yangu in swahili. Hujalazimishwa kuyaamini boss na kuoa sitaoa nikiwa mgane kwasababu kumuweka mwanamke mwingine akae inline na vision yangu hiyo nguvu sitoiweza. Shaping a partner akae inline with one's vision ni ngumu sana tena sana ndio maana hata huyu niliyenaye mahusiano yakishindikana, issue ya kufunga ndoa naachana nayo kabisa. Nimeshachoka, sitafuti starehe kwenye ndoa bali utimilifu wa majukumu ya kiutu uzima.
 
Mwanaume alieachana na mke wake je kivuli yeye hakimuhusu?
 
Tutaaminije kuwa unayosema ni kweli?, humu jamiiforum mtu akikwazana na Malaya wake huko anakuja kusigina mitandaoni

Huna tofauti na Ile mijimama shapeless inavyowazibia riziki wadada wazuri wenye figure zao mjini utaskia wanaume wote ni mbwaaa

Waambie hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
It's my opinion i.e. maamuzi yangu in swahili. Hujalazimishwa kuyaamini boss na kuoa sitaoa nikiwa mgane kwasababu kumuweka mwanamke mwingine akae inline na vision yangu hiyo nguvu sitoiweza. Shaping a partner akae inline with one's vision ni ngumu sana tena sana ndio maana hata huyu niliyenaye mahusiano yakishindikana, issue ya kufunga ndoa naachana nayo kabisa. Nimeshachoka, sitafuti starehe kwenye ndoa bali utimilifu wa majukumu ya kiutu uzima.
Umejieleza sana Mkuu
Niliuliza tu swali dogo ambalo nilitegemea ujibu Ndiyo au hapana.
 
Siamini kama kuna mtu kujifunza kutokana na ndoa iliyovunjika hivyo ataiweza kuijenga vyema ijayo. Siamini kamwe, hivyo bora nianzishe mwenyewe nijue nilivunda mwenyewe nasi kusema binti wawatu kumbe hakubadilika bado. Maana hata kama aliyemuacha ndiye mwenye shida mfano muhuni ila alifikia kufanya maamuzi magumu ya kuolewa na muhuni basi hajui kushughulisha kichwa chake katika maamuzi muhimu ya maisha yake, hivyo siamini mtu huyo hubadilika. We live once then make better decisions if not best for your life.
Una hoja, hupaswi kupuuzwa hata kidogo.

Eti hakushughulisha kichwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mkuu watu wanapretend..uhuni hakuonyeshi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini nyote,

Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo.

Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi.

Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari.

Yangu ni hayo tu.
Kwa hiyo tuwafumue tu 0715?
 
Sasa mmeanza kutumia njia nyingine kuwashambulia single mother
 
Back
Top Bottom