Ni eneo gani au sehemu gani naweza kuwekeza Tsh. milioni 1 nikapata 5,000 kwa siku?

I like it
 
Bila shaka upo njombe sio dar
 
Ila ukiwa maskini bwana kila saa unawaza kutapeliwa
Calculations kaka. Calculations kaka. Kwenye kila unapowekeza usijiangalie tu mimi napata kiasi gani jiulize pia na mshirika wangu anapata kiasi gani.

Hesabu ni lazima ziwe na uhalisia. Unainvest ml 1 kwa wiki unapata laki tatu whichi is 30%. Kwa mwezi unapata ml 1 na laki mbili. Yani zaidi ya mara mbili ya ulichoinvest ndani ya mwezi tu. Kengele ya hatari bado haijalia kichwani mwako?

Jiulize mbona Bodaboda, Bajaji, Nafaka, Uwakala nk hauleti faida ya haraka hivyo.


Anyway kama utajiri ni kuwekeza bila kucalculate risks nimechagua kuwa maskini.
 
Usimuamini mswahili kwenye pesa,huyo anaenda kukuzima huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…