Ni eneo gani au sehemu gani naweza kuwekeza Tsh. milioni 1 nikapata 5,000 kwa siku?

Anakutumia elfu tano mpaka lini?

Au ndio milele?

Vipi kama biashara ikikua ikawa inatoa mafaida ya kwenda, utaendelea kupokea alfu tano kwa siku?
 
Kwenye cryptocurrency yaani sarafu za kidigitali, kuna kitu tunaita staking au pia delegation, unailock hiyo m1 yako ni dola 400+ unakuwa unakusanya staking reward yaani faida huku mtaji wako huo ukiwa salama kabsa na siku ukiitaka unatoa yote.
 
Elezea zaidi hii
 
Duh mbona watu wanamitaji ya elfu 50 tu na wanapata zaidi ya elfu 10 faida. Humu ndani kuna watu wa ajabu sana.
 
Weka Sportybet afu kila siku cheza team moja odd kati ya 1.01 au 1.02 kila siku hukosi 15,000 na hiyo ni 💯 ila inahitaji nidhamu ya hali ya juu na kutoingia tamaa
 
Mimi anipe hyo pesa kwa kila siku nitampa elfu kumi kwa wazo langu la kununua kuku na nyama ya nguruwe mnadani mambo yasiwe mengi au kama kuna mtu pesa hyo anayo ila ana muda wakuitumia imuzalishie.
 
Fungua mgahawa
 
Duh mbona watu wanamitaji ya elfu 50 tu na wanapata zaidi ya elfu 10 faida. Humu ndani kuna watu wa ajabu sana.
Hao watu sio wawekezaji. Ni wafanya biashara.

Uwekezaji ni pale unapotaka kutmumia pesa kutengeneza pesa, yaani uweke pesa, hujishughurishi na chochote, zaidi ya kukusanya 5000 yako, kitu ambacho ni kigumu kwa 1M
 
Nitumie hiyo hela, 5000 utaipata kila siku mpaka nitakaporejesha hela yako, niko nasikilizia.
 
Mkuu, fanya uweke odds. Tafuta timu yenye odds 3.7 ama 4.1
Weka mkeka kwa mtaji wa hiyo 1m ili ushinde kitu kams 3.7m Nunua Boxer mpe mtu awe analeta hesabu ya 8k kwa siku, still boda litabaki kuwa lako. Ukishalinunua unicheki PM maana mimi ni Afisa Usafirishaji
 
Mkuu ningependa kujua hii ni biashara gani??
 
Kwenye cryptocurrency yaani sarafu za kidigitali, kuna kitu tunaita staking au pia delegation, unailock hiyo m1 yako ni dola 400+ unakuwa unakusanya staking reward yaani faida huku mtaji wako huo ukiwa salama kabsa na siku ukiitaka unatoa yote.
Mkuu elezea vzr watu tufanye hii makitu
 
Kwenye cryptocurrency yaani sarafu za kidigitali, kuna kitu tunaita staking au pia delegation, unailock hiyo m1 yako ni dola 400+ unakuwa unakusanya staking reward yaani faida huku mtaji wako huo ukiwa salama kabsa na siku ukiitaka unatoa yote.
Mzee huo udabwi udabwi Unapitia step zipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…