Ni faida gani ambayo wanapata NATO kwa vita hivi vya Urusi na Ukraine?

Ni faida gani ambayo wanapata NATO kwa vita hivi vya Urusi na Ukraine?

Mrusi ni kikwazo namba Moja Cha hayo majamaa USA, CANADA, UK nk katika kuitawala Dunia, kutoa amri ambazo ni lazima zifuatwe na Dunia nzima na kuinyonya Dunia
Hao jamaa hawatoi misaada Bali wanapigana vita ya kwao kabisa ndiyo maana zele ana jeuri na kuomba kwake misaada ni kama ana command tu, akiwa na maana kama hawataki kutoa waache Ile kwao
 
Braza Pischal umekurupuka[emoji41][emoji41][emoji41]


Mtoa mada hajamlaumu yoyote isipokuwa anauliza kwa nin masponsa wananchi wao wanasota kutokana na ughali wa mahitaj ya msingi lkn wanasponsa ugenin???
Kwasababu Putin alianzisha vita vya kichokozi na kikatili kuteka maeneo ya Ukraine

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Waafrika tumejaliwa akili nyingi mno,na wazungu ni wapumbavu mno,ila wanatuzidi kwa kuwa waafrika tumejisahaulisha kwa tamaa zetu,ulafi wetu,au njaa zitokanazo na uvivu,ama kukubali kunaswa na mitego ya wapumbavu wazungu na kusahau kutumia uerevu wetu kufanya mambo mazuri yenye maana na maendeleo yetu kama waafrika,kwa mataifa yetu na maendeleo ya mtu mmoja mmoja katika mataifa yetu[emoji848].
Kwanini waafrica mnafurahia kupigwa kwa Ukraine na urusi kwani waukraine waliwahi kuikosea nini africa?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kama ile demokrasia waliyoenda kuipigania Libya? Afghanistan? Iraq? Syria na kwingineko?
bcpfhtoamci11.jpg

Baada ya kupigania Demokrasia akarudi na faida kubwa😂
 
Ni kumfundisha adabu Mrusi kwamba huwezi kuamka tu umeshauriana na mkeo afu unavamia nchi nyingine ambayo ina uhuru kamili wa Bendera.

Nafikri hadi muda huu anajutia uamuzi wake, ila namna ya kutoka kashindwa.
 
Back
Top Bottom