Ni faida gani ambayo wanapata NATO kwa vita hivi vya Urusi na Ukraine?

Ni faida gani ambayo wanapata NATO kwa vita hivi vya Urusi na Ukraine?

Ulitaka waiache Ukraine iteketezwe na urusi kiraisi?kwanini usiilaume urusi iliyoanzisha vita vya kivamizi kwanza?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kwamba kwasasa haiteketezwi yaani inyeshe mvua liwake jua Ukraine [emoji1255] itachapwa na inaendelea kuchapwa mpaka itakapo amua kusalimu amri na kuacha kutumika na mabeberu dhidi ya Russia [emoji635]
 
Kwanini waafrica mnafurahia kupigwa kwa Ukraine na urusi kwani waukraine waliwahi kuikosea nini africa?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
UKRAINE [emoji1255] iliikosea na inaendelea kukosea sana RUSSIA [emoji635] nandio maana waafrika tulio wengi natunao jitambua tunasimama na anaeonewa nae si mwengine ni Russia [emoji635]
 
Ni kumfundisha adabu Mrusi kwamba huwezi kuamka tu umeshauriana na mkeo afu unavamia nchi nyingine ambayo ina uhuru kamili wa Bendera.

Nafikri hadi muda huu anajutia uamuzi wake, ila namna ya kutoka kashindwa.
Labda ujute wewe ila sio RUSSIA [emoji635]
 
Bila kuituliza urusi kwanza ,Dunia haiko salama

Mkiona huko kugumu ,rudini kwenu ,wewe jitu Zima bilahaya unalia maisha magumu ,je mtoto wa kiukrein anayeshinda kutwazima anasikia miungurumo ya mizinga asemaje
Atafte nchi nyengine ahamie huyo mtoto aikache Ukraine [emoji1255]
 
Shida ya Putin kuivamia Ukraine sio kuwatetea wazungumzaji wa kirusi waishio mashariki mwa Ukraine na kuizuia Ukraine kujiunga na nato bali kuiteka Ukraine na kumpandikiza kibaraka wa urusi na kuchota raslimali za Ukraine

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kama akitaka kufanya hivyo sio Mbaya tunamuombea na tupo nyuma yake
 
Wanasema wanatetea demokrasia. Kwa kweli kupigania demokrasia faida yake ni kubwa mno.

Kulikoni Putin kutaka kuiamulia mambo Ukraine? Huo ni ubakaji ambao hata miye na wewe hatupaswi kuukubali.

Ndiyo maana kuna faida kubwa mno kwenye kupigania katiba mpya hata kama tutayapoteza maisha yetu kwenye mapambano.
Mbona hao Us walimtoa Ghadafi na Rais wa Iraq hiyo haikua kuibaka democrasi?,nijibuni kwanza hili
 
Wanasema wanatetea demokrasia. Kwa kweli kupigania demokrasia faida yake ni kubwa mno.

Kulikoni Putin kutaka kuiamulia mambo Ukraine? Huo ni ubakaji ambao hata miye na wewe hatupaswi kuukubali.

Ndiyo maana kuna faida kubwa mno kwenye kupigania katiba mpya hata kama tutayapoteza maisha yetu kwenye mapambano.
Keyboards warrior
 
Faida ya kwanza, lazima walete misaada na mikopo

Pili lazima muingie makubaliano hata ambayo si vipaumbele vyenu kwa manufaa yake

Tatu ndio mahala sahihi pa yeye ku testia technologies zake za kijeshi na kivita

Nne inakua kama maonyesho ya silaha za kivita hivyo anajitengenezea soko la silaha la uhakika

Kuongeza utawala wake kwa kuweka ma pandikizi na kambi za siri

Ni hayo tu kwa wepesi
 
Faida yake ni long term, Ukraine ni nchi tambarare haina natural boundaries nyingi zaidi ya Dnipro river inayoigawa Ukraine katikati, So endapo NATO ikiweza kuiweka Ukraine kwenye influence yake na Wakawa na vifaru Kama 600 hadi 1000 basi, Russia hataweza kujilinda tena dhidi ya USA na Marekani wataweza Kufika Moscow kirahisi sana
 
Wanasema wanatetea demokrasia. Kwa kweli kupigania demokrasia faida yake ni kubwa mno.

Kulikoni Putin kutaka kuiamulia mambo Ukraine? Huo ni ubakaji ambao hata miye na wewe hatupaswi kuukubali.

Ndiyo maana kuna faida kubwa mno kwenye kupigania katiba mpya hata kama tutayapoteza maisha yetu kwenye mapambano.
Demokrasia gani kuna viongozi hawataki kuachia madalaka kazi yao kuiba kula na kutumia vyombo vya dola kufanikisha uhuni wao
 
Wanasema wanatetea demokrasia. Kwa kweli kupigania demokrasia faida yake ni kubwa mno.

Kulikoni Putin kutaka kuiamulia mambo Ukraine? Huo ni ubakaji ambao hata miye na wewe hatupaswi kuukubali.

Ndiyo maana kuna faida kubwa mno kwenye kupigania katiba mpya hata kama tutayapoteza maisha yetu kwenye mapambano.
Watu wa magharibi ukiwauliza jambo la kwanza kwao ni demokrasia. Lakini kwa upande wa Russia jambo la kwanza ni usalama wa nchi na la pili ni demokrasia.

Na hii ni kwa sababu, mosi nchi yao ni kubwa sana hivyo ina mipaka mikubwa sana. Pili ni kutokana na historia ya nchi yao kuvamiwa vamiwa na mataifa ya nje. Sababu hizo kuu mbili zinafanya Russia wajilinde sana na kufanya kuwa nchi ya kigeni.

Na kingine ambacho unachotakiwa kuelewa ni kwamba mipaka ya demokrasia inaishia ndani ya mipaka ya nchi yako. Ukitoka nje huko unagusa maslahi ya watu na mifano ipo mingi ya wazi.

Kinachofanyika kwa nchi za magharibi ni kulinda maslahi yao. Ingelikuwa ni demokrasia kama unavyodai basi wamagharibi wasingewekeza Ukraine mpaka sasa dhidi ya Russia kwani yale majimbo yametumia uhuru huo huo unaopiganiwa na wamagharibi kwa wengi wao raia kupiga kura ya kujiondoa mikononi mwa Ukraine.

Kama demokrasia ni sauti ya wengi basi hiyo ama huo ni mfano wake wa dhahiri.
 
Faida yake ni long term, Ukraine ni nchi tambarare haina natural boundaries nyingi zaidi ya Dnipro river inayoigawa Ukraine katikati, So endapo NATO ikiweza kuiweka Ukraine kwenye influence yake na Wakawa na vifaru Kama 600 hadi 1000 basi, Russia hataweza kujilinda tena dhidi ya USA na Marekani wataweza Kufika Moscow kirahisi sana
Mawazo yako ni mazuri lakini yapo mbali na uhalisia. Angalia hii interview ya Tucker Carlson na Colonel Douglas Mcgregor. Kazungumzia nguvu ya Amerika kijeshi kwa sasa ipoje na kinachoendelea Ukraine ni kipi na hali ya Ukraine kwa sasa ipoje!
 
Attachments

  • Screenshot_20230916_210509_YouTube.jpg
    Screenshot_20230916_210509_YouTube.jpg
    67.6 KB · Views: 4
Dunia inaongozwa na elites ambao wanataka kuitawala dunia yote! Wanataka kuweka New World Order ya kuitawala dunia sema Russia na China ndiyo bado kizingiti.
Elites hawana njaa wala shida yo yote!
 
Hao jamaa hawatoi misaada Bali wanapigana vita ya kwao kabisa ndiyo maana zele ana jeuri na kuomba kwake misaada ni kama ana command tu, akiwa na maana kama hawataki kutoa waache Ile kwao
Unafahamu kwamba Ukraine ni nchi yenye rushwa kuliko Mexico?

Misaada inayoingia Ukraine kwa watu wakubwa nchini mwao ni fursa na wanapiga pesa za kutosha.

Ukiingia black market Ukraine wanauza silaha walizopewa siku 6 nyuma na wamagharibi. Nyengine zikitimiza wiki 2 tu zinapigwa bei.
 
Back
Top Bottom