Ni faida gani ambayo wanapata NATO kwa vita hivi vya Urusi na Ukraine?

Ni kumfundisha adabu Mrusi kwamba huwezi kuamka tu umeshauriana na mkeo afu unavamia nchi nyingine ambayo ina uhuru kamili wa Bendera.

Nafikri hadi muda huu anajutia uamuzi wake, ila namna ya kutoka kashindwa.
Majuto yapo pande zote tatu kwa sabab wote wanahali tete
 
Hali ya maisha katika nchi za nato na wengine sio nzuri kabisa.

Maisha yamekuwa ghali kinoma
Makato ya serekali yamepanda vyakula vimepanda bei na mambo mengine mengi.

Lakini kila kukicha Kama hapa Canada [emoji1063] serekali wanatenga bajeti ya mabilioni ya pesa sio Canada pekee hata usa watu wanateseka na ugumu wa maisha.

Ila Mimi ninacho jiuliza hivi uko ukrain kuna nini Yaani mbona nchi za ulaya na marekani wanapambana saana kusaidia ukrain uku wananchi wao wakilalamika na ugumu wa maisha.

Yeyote anaye jua mambo haya ya uchumi anaweza kunieleweshe.

View attachment 2743324
View attachment 2743325
NATO wameshavuna wanachama wapya tayari Finland, Sweden na Ukrean mbioni vita ikiisha tu lakini pia zipo nchi nyengine wanafikiria kujilinda na kujihakikishia usalama zaidi wakiwa na NATO, kiuchumi nchi za NATO bado zinapeta
 
Ile sio vita ya ukraine na Urusi, bali ni vita kati ya ujamaa na ubepari.

Yaani pale NATO/mabepari yanapigania uhai wao kwaajili ya kuendelea kula migongoni mwa wakaazi wa dunia yote.... Kumbuka ile kauli ya mkuu wa nato kwamba Ukraine wakishindwa ni nato wameshindwa.
Maana yake kadri Urusi wanavyoendelea kuharibu uchumi wa nato, ndivyo hivyo nguvu ya kimamlaka inahamia kwa wajamaa ambao ni kina China, Iran, North Korea, Urusi yenyewe pamoja na yale mataifa yatakayokuwa pamoja katika kuangusha utawala wa kibepari
 
Urusi na mabepari wa mfumo wa "Oligarchs"
 
NATO wameshavuna wanachama wapya tayari Finland, Sweden na Ukrean mbioni vita ikiisha tu lakini pia zipo nchi nyengine wanafikiria kujilinda na kujihakikishia usalama zaidi wakiwa na NATO, kiuchumi nchi za NATO bado zinapeta
Dhidi ya nani.
 
Waafrika tumejaliwa akili nyingi mno,na wazungu ni wapumbavu mno,ila wanatuzidi kwa kuwa waafrika tumejisahaulisha kwa tamaa zetu,ulafi wetu,au njaa zitokanazo na uvivu,ama kukubali kunaswa na mitego ya wapumbavu wazungu na kusahau kutumia uerevu wetu kufanya mambo mazuri yenye maana na maendeleo yetu kama waafrika,kwa mataifa yetu na maendeleo ya mtu mmoja mmoja katika mataifa yetu🤔.
Africa gani mmejaliwa akili mno?

Karne hii ya 21 bado mnakunya nje na kulala kweny makuti
 
Bila kuituliza urusi kwanza ,Dunia haiko salama

Mkiona huko kugumu ,rudini kwenu ,wewe jitu Zima bilahaya unalia maisha magumu ,je mtoto wa kiukrein anayeshinda kutwazima anasikia miungurumo ya mizinga asemaje
 
Waafrika tumejaliwa akili nyingi mno,na wazungu ni wapumbavu mno,ila wanatuzidi kwa kuwa waafrika tumejisahaulisha kwa tamaa zetu,ulafi wetu,au njaa zitokanazo na uvivu,ama kukubali kunaswa na mitego ya wapumbavu wazungu na kusahau kutumia uerevu wetu kufanya mambo mazuri yenye maana na maendeleo yetu kama waafrika,kwa mataifa yetu na maendeleo ya mtu mmoja mmoja katika mataifa yetu🤔.
Umeanza kwa kuwasifia waafrika kua wana akili, wazungu ukawaita wapumbavu lakini ajabu ukaja na evidence zinazoonyesha waafrica ni wapumbavu na wazungu wana akili

Nawaza sijui nikuweke grp lipi?
 
Shida ya marekani na allies sio kuitetea kyv ila ni kumwangusha urusi sababu ya kubalance power wala hampendi mukraine bali ni kwa maslahi yake. NATO wanapelekeshwa tu na usa hawajielewi
Shida ya Putin kuivamia Ukraine sio kuwatetea wazungumzaji wa kirusi waishio mashariki mwa Ukraine na kuizuia Ukraine kujiunga na nato bali kuiteka Ukraine na kumpandikiza kibaraka wa urusi na kuchota raslimali za Ukraine

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Hali ya maisha katika nchi za nato na wengine sio nzuri kabisa.

Maisha yamekuwa ghali kinoma
Makato ya serekali yamepanda vyakula vimepanda bei na mambo mengine mengi.

Lakini kila kukicha Kama hapa Canada [emoji1063] serekali wanatenga bajeti ya mabilioni ya pesa sio Canada pekee hata usa watu wanateseka na ugumu wa maisha.

Ila Mimi ninacho jiuliza hivi uko ukrain kuna nini Yaani mbona nchi za ulaya na marekani wanapambana saana kusaidia ukrain uku wananchi wao wakilalamika na ugumu wa maisha.

Yeyote anaye jua mambo haya ya uchumi anaweza kunieleweshe.

View attachment 2743324
View attachment 2743325
Wanamzuia Putin asijitanue zaidi kwa kuimeza Ukraine maana wakibakia kimya hata wao hawatabaki salama siku zijazo.
 
Hali ya maisha katika nchi za nato na wengine sio nzuri kabisa.

Maisha yamekuwa ghali kinoma
Makato ya serekali yamepanda vyakula vimepanda bei na mambo mengine mengi.

Lakini kila kukicha Kama hapa Canada [emoji1063] serekali wanatenga bajeti ya mabilioni ya pesa sio Canada pekee hata usa watu wanateseka na ugumu wa maisha.

Ila Mimi ninacho jiuliza hivi uko ukrain kuna nini Yaani mbona nchi za ulaya na marekani wanapambana saana kusaidia ukrain uku wananchi wao wakilalamika na ugumu wa maisha.

Yeyote anaye jua mambo haya ya uchumi anaweza kunieleweshe.

View attachment 2743324
View attachment 2743325
Ni kama tanzania na zanzibar hivi tanganyika tunapata nini kuwa pamoja na. Zanzibar wakati hawatupendi?
 
Nenda kawaulize, wao ndo wanaujua ukweli halisi. Hapa utakutana na wajuaji tu.

Kwanza hata ukiujua ukweli una cha kufanya? Tuanzie hapa
 
Back
Top Bottom