Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Ameuliza Faida inayopata NATO ilihali hali ya uchumi kwao inaendelea kuwa mbaya kutokana na viwanda vyao kukosa nishati ya gasi toka Urusi pamoja na kukosa chakula toka Ukraine na Urusi. Wanafaidika nini na hii operation?Ulitaka waiache Ukraine iteketezwe na urusi kiraisi?kwanini usiilaume urusi iliyoanzisha vita vya kivamizi kwanza?
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app