Mpinzire JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 7,503 Reaction score 13,463 Sep 17, 2023 #81 Paschal qamara said: Ulitaka waiache Ukraine iteketezwe na urusi kiraisi?kwanini usiilaume urusi iliyoanzisha vita vya kivamizi kwanza? Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app Click to expand... Ameuliza Faida inayopata NATO ilihali hali ya uchumi kwao inaendelea kuwa mbaya kutokana na viwanda vyao kukosa nishati ya gasi toka Urusi pamoja na kukosa chakula toka Ukraine na Urusi. Wanafaidika nini na hii operation?
Paschal qamara said: Ulitaka waiache Ukraine iteketezwe na urusi kiraisi?kwanini usiilaume urusi iliyoanzisha vita vya kivamizi kwanza? Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app Click to expand... Ameuliza Faida inayopata NATO ilihali hali ya uchumi kwao inaendelea kuwa mbaya kutokana na viwanda vyao kukosa nishati ya gasi toka Urusi pamoja na kukosa chakula toka Ukraine na Urusi. Wanafaidika nini na hii operation?
T Tajiri mkopeshaji JF-Expert Member Joined Dec 24, 2022 Posts 613 Reaction score 1,445 Sep 17, 2023 #82 Yoda said: Vipi ikianza kukatwa misaada ya NATO kama USAID hapa bongo ?? Click to expand... Ukimwi utamaliza awamu yote ya sita
Yoda said: Vipi ikianza kukatwa misaada ya NATO kama USAID hapa bongo ?? Click to expand... Ukimwi utamaliza awamu yote ya sita
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Sep 18, 2023 #83 Mburu kidudu said: Demokrasia gani kuna viongozi hawataki kuachia madalaka kazi yao kuiba kula na kutumia vyombo vya dola kufanikisha uhuni wao Click to expand... Una maana Putin, Kim, Jinping na wa namna hIyo wenye kukomaa na urais milele?
Mburu kidudu said: Demokrasia gani kuna viongozi hawataki kuachia madalaka kazi yao kuiba kula na kutumia vyombo vya dola kufanikisha uhuni wao Click to expand... Una maana Putin, Kim, Jinping na wa namna hIyo wenye kukomaa na urais milele?
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Sep 18, 2023 #84 mwananyaso said: Keyboards warrior Click to expand... Kwamba real warrior ndiyo weye, siyo? Hiiiii baghosha!
mwananyaso said: Keyboards warrior Click to expand... Kwamba real warrior ndiyo weye, siyo? Hiiiii baghosha!