Ni faida gani ataipata Mungu kwa kuwachoma moto binadamu siku ya mwisho?

Kwani wewe ni nani aliyekwambia kwamba adhabu imewekwa ili ujifunze!?ndugu yangu mawazo ya kibinadamu hayo mungu hayuko hivyo.
You leap what you sow.
Nikirudi kwenye mantic yako ya kibinadamu ya "adhabu ni kujifunza." Kumekuwepo na adhabu aina mbali mbali kwa mfano adhabu kifungo kwenda jela ama kutumikia jamii,adhabu ya viboko adhabu ya kifo nk.
Adhabu ya kifo na adhabu ya kifungo jela labda kufungwa maisha au adhabu ya kifo kwa mfano hivi huyu tenda kosa kosa kuna kitu atajiza kitu chochote?kuna adhabu nyingine zimewekwa ili wengine wajifunzo...katika utawala wa mbingu kuna adhabu moja tu..kwenda Motoni ili sisi tuliobaki duniani tujifunze kwamba ukitenda dhambi stahili yako ni moto tu..Dini nyingine wao wametabainisha na kueleza uzuri wa mbingu kwamba ukitenda mema dunian mbinguni unapewa mabikra 74..kwa mukutadha huohuo ungehoji pia kwanini watu wapewe mabikra sabini!?na kwa manufaa ya nani..!
Acheni uzinzi wizi uasherati wizi nk tuziheshimu na kuishi amri za mungu.
Mungu yupo na adhabu zipo.
 
Unapotea kwa kutumainia macho yakuongoze na milango mingine ya fahmu iliyo nje .Itafika hatua utasema upepo haupo kwa sababu macho hauonekani na hauna umbo.Swala la kuwa wewe Mweusi na structure nyingine ni nyeupe kisikusumbue,Nafsi zetu au Roho zetu ndizo tuliumbwa sawa ila zikapewa uhuru wa kubadilika si kwa rangi bali kwa imani.Ukiamua uwe mwizi na mzungu utampata mwiz,ukiwa huna iman kwamba Mungu yupo utamkuta Mzungu mnae fanana nae.
Sasa Roho yako kuwa kwenye structure yenye rangi nyeusi na mwingine nyeupe isikusubue naomba uongeze reasoning yako ndipo utajua mungu yupo.
 
Haya bwana maana najua hata wewe hunauhakika na unachokiongea unaamini tuu hukuwepo na hata Mimi sikuwepo ko kila mtu akiamini kile anachojua ni msingi wa maisha yake
 
Unajuaje uthamani wako kwa mungu maana umesema mwenyewe kuwa akili za mungu hazichunguziki
 
Namwomba the ALMIGHTY SOVEREIGN ONE anipe hicho kipawa. ...walahi!
 
UTAFUTENI KWANZA UFALME WA MBINGUNI NA HAKI ZAKE NA MENGINEYO MTAZIDISHIWA. ....na swali lako pia utajibiwa. ..barikiwa my friend
 
ukiwa unazini unapata faida gani?
Napata raha, na ndio maana viungo hivi vipo. na agizo lilitoka enendeni mkazaliane, mkaongezeke na kuijaza Dunia_japo sikku hizi imekuwa ujinga mpaka na ushoga kinyume na makusudi ya maumbile.
 
Njia za Mungu hazichunguziki..Muache Mungu aitwe Mungu
 
Dah! Ivi mpaka leo kuna baadhi ya watu hawaamin uwepo wa MUNGU!
Nasikitija kukwambia umekufuru sana rafik yangu.
Omba toba kwa Mungu kupitua Iman yako maana inaonyesha uwezo wako wakufikir ni mdogo.
Labda nikupe mfano.

Mtoto anapokuwa tumboni kwa mama yake anayesimamia zoezi zima kuanzia yai kupevuka, kurutubishwa, kupewa uhai na mpaka anazaliwa ninani anaefanya kazi hiyoo?
 
Hakuna kitu kama hicho ni nadharia tu ambazo watu kama wewe walizianzisha na kuwaaminisha watu kuwa kuna kuchomwa moto kwa watenda dhambi siku ya mwisho Ili kupunguza madhambi kwa kiasi fulani
Hata wakati wa nuhu wabishi kama wew walikua kibao wamejaa
 
UTAFUTENI KWANZA UFALME WA MBINGUNI NA HAKI ZAKE NA MENGINEYO MTAZIDISHIWA. ....na swali lako pia utajibiwa. ..barikiwa my friend

Whites walikuwa too tricky, walijua before colonial era kwamba ancestors wetu walikuwa na kitu kinachowaunganisha...gods..ambayo ilikuwa ni supreme being na principle object ya imani, na kwamba walikuwa na namna yao ya kuabudu na kutatua mambo yao! Wakaona ili kumtawala mtu aliye na umoja na mshikamano ni kumvuruga so wakaleta 'mafundisho ya kistaarabu' hapo ndipo mwanadamu alipoanza kuacha njia zake za asili na kufuata what called 'njia ya kweli' ndipo chimbuko la Fictional God...YES!
 
huyo *mungu ni yupi labda??
 
Ndo shida ya kuwapeleka shule............kizazi cha nyoka....Aisee shetani mbaya sana....amekufikirisha mpaka hili......
Na sembe pia ni shida, watu wakishiba ni taabu sana, ndio maana wanaanzisha maada kama hizi. Nina imani huyu Ndugu angekuwa hana uhakika na mlo wa leo walaih saa hizi anf
 
Faida mojawapo ya kuchomwa moto ni hii atawachoma sasabu hawana faida kwake bora wachomwe wateketee milele kuliko aendelee kuwaona mfano wakawaida tu"maamlaka ya udhibiti wa chakula na dawa umeteketeza shehena za chakula madawa kwa moto baada ya kugundulika havifai kwa matumizi ya binadamu" sasa kwanini Mungu awaache wafilaji na matakataka mengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…