Ni faida gani ataipata Mungu kwa kuwachoma moto binadamu siku ya mwisho?

Usinirekebishe as well ...wewe ndo unakurupuka! Ukitaka kusikia tu kile unachopenda nenda kwenye tundu la choo,piga filimbi kisha ussikilize mwangwi wake,si lazima tuwe sawa kwenye kutazama mambo!
Wanaume wa Dar..................mipashoooooooooooo......wanakunaniliiiii ww...............
 
Kijana mungu unayemdhania hayupo! Wewe mwenyewe unaona kabisa hayo yaliyokufanya ukaamini yenyewe yanajipinga.
Za kuambiwa changanya na zako
 
Naona umeufikia. ..
 
Bibilia inasema
Tazama makao ya Mungu ni pamoja na wanadamu
Sasa kwa ufupi tu
Pamoja na shetani kufanya alichofanya bado mpango wa Mungu ulibaki palepale kukaa ns wanadamu awape raha ya milele ndio maana ya kumleta Yesu duniani
Sasa inakuwa kuutafuta huu mpango wa Mungu then uuelewe uufanyie kazi ili ukaishi nae milele paradiso
Ukishindwa kuutafuta huu mpango w Mungu ambao ni kumpokea Yesu Kristo na kuishi maisha ya kupendeza Yeye basi hutaweza kuishi na huyu Mungu kwenye huii raha ya milele
Hapa sasa ndio nakupa jibu
Kwa kuwa ni lazima dunia ifike mwisho wake na wewe huna sifa ya kwenya kwa Mungu ni lazima uende jehanam kwenye moto wa milele
Elewa sehemu ni mbili tu na unachagua mwenyewe tangu sasa
Jehanam na Paradiso
Asante
 
Ndivyo mnavyokaririshwa sio?
 

Wengi wanajibu kiimani tu, tena kwa kurejea vifungu vya maandiko ambayo yameandaliwa kwa namna ile ile so ni ngumu kutembea nje ya kile wameaminishwa. "Roho ni pumzi, pumzi ni Oxygen.... Oxygen+Oxygen zinasapoti COMBUSTION"

We chalii una akili kisenge, nadhani kuna haja kutafiti zaidi kwa dhana hii. Lakini je, ni hadi siku ya mwisho au moto unaendelea huko kwa kadri pumzi (roho) zinavyokuwa nyingi.?
 

MALAIKA WANA FREE WILL si ajabu baadhi waliasi
 
Ni faida gani ataipata kupeleka watu wema peponi!!?

Labda tuanzie hapo mkuu..
 
Ni mwili wa mzazi ndio unaotenda hayo.
Vipi wewe ulidhani ni huyo mjinga mjinga wa kifikirika?

Tumia akili sio kila kitu ukokotwe kama mkokoteni
 
Fanya mpango mkamate shetani umdhibiti,baada ya hapo utaiona faida ya kumdhibiti,au uwe na mtoto akutukane uone utamfanya nini
 
Elimu inamatokeo chanya na hasi,ila naona hasi ndo makubwa zaidi kuliko chanya
 
Mkuu hii dhana ya kutisha watu ili anzishwa na watawala wa kale (probably wakirumi) ili kuwafanya watu wafuate sheria zao ambazo hazikuwa na kichwa wala mkia...baadae wakaiingiza kwenye dini ili kujilipikizia mali kwa njia ya sadaka....huo moto haupo mkuu!!! wanaosema upo wakiambiwa waaoneshe direction ya kuufikia wataonesha???
 
Ni mwili wa mzazi ndio unaotenda hayo.
Vipi wewe ulidhani ni huyo mjinga mjinga wa kifikirika?

Tumia akili sio kila kitu ukokotwe kama mkokoteni
Mkuu jibu tamu sana...ni kazi ya hormones,enzymes pamoja na damu...nothing more!!!..
 
Mungu hayupo kwa hiyo wewe amekuumba mamako siyo??

Halafu unavyouliza maswali ya kitoto na kipuuzi kabisa eti watu weusi,wachina wazungu nk wametokea wap.Ww chukua kitabu cha dini ukisome utapata majibu yako yote kiufasaha zaidi na mahali ukikwama mtafute kiongozi wako wa dini atakufafanulia vizuri

Alaf kitu kingine unavyodai mungu kaumba bacteria ili watudhuru nan kakwambia hayo maneno.Si bacteria wote wanamadhara kwa binadamu wengine wanafaida kubwa sana kuliko unavyofikiria,mfano bacteria anaeitwa Escherichia colli anaeishi kwenye utumbo mpana wa binadamu anasaidia upatikanaji wa vitamin B.Halaf bacteria wengine wanatumika viwandani kwenye shughuli mbalimbali mfano utengenezwaji wa siagi, mkate nk
Bacteria wanaoishi kwenye utumbo mwembamba wa wanyama kama ng'ombe wanasaidia upatikanaji wa kimeng'enya kinachoitwa Cellulase kwa ajili ya kumeng'enya cellulose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…