KWANINI MOTO WA JEHANAMU NI ILLUSION???
1.Ule moto hatujaambiwa unatumia fuel ya aina gani e.g petrol,gas, kerosene, au mkaa.
2.Ziendazo huko ni roho.Roho hazina sensory cells, so watakaoenda huko hawatahisi maumivu.
3.Chanzo cha roho ni pumzi aliyopuliziwa Adam na Mungu, ile pumzi ndio tunayo ibreath in and out, nayo ni oxygen...oxygen kazi yake ni kusapoti moto uwake. So roho zitakazokwenda jehanamu zitakuwa na kazi ya kusapoti combustion.
SWALI: NINI KAZI YA MOTO WA JEHANAMU???...Wafiadini majibu tafadhali.