Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
We hufai kuwa katika discussion, umeanza unatukana. Mimi sijatukana, nimeweka arguments zangu, it is your duty to prove me wrong! Usinitukne. Vitabu vya dini havina scientific proof, ndiyo mastory nisiyoyataka. I am a scientist, for your information, a specialist in Microbiology, najua a lot about these micro organisms! Ninachouliza, kwa nini aliumba harmful bacteria? Na kwa nini Mungu aende katika intricacies of making/kuumba cellulase, cellulose and the like! Majibu uliyo nayo ni ya imani, I need scientific answers, not revelations!
Achana naye tu huyo atakuwa mpendwa, hawa ni wale wakikuta hata neno shetani kwenye karatasi wanaanza kukemea! Ukimuuliza how far unamjua unayempigia makelele atakuambia ..imeandikwa...blah blah kibao!