Ni faida gani ataipata Mungu kwa kuwachoma moto binadamu siku ya mwisho?

Ni faida gani ataipata Mungu kwa kuwachoma moto binadamu siku ya mwisho?

We hufai kuwa katika discussion, umeanza unatukana. Mimi sijatukana, nimeweka arguments zangu, it is your duty to prove me wrong! Usinitukne. Vitabu vya dini havina scientific proof, ndiyo mastory nisiyoyataka. I am a scientist, for your information, a specialist in Microbiology, najua a lot about these micro organisms! Ninachouliza, kwa nini aliumba harmful bacteria? Na kwa nini Mungu aende katika intricacies of making/kuumba cellulase, cellulose and the like! Majibu uliyo nayo ni ya imani, I need scientific answers, not revelations!

Achana naye tu huyo atakuwa mpendwa, hawa ni wale wakikuta hata neno shetani kwenye karatasi wanaanza kukemea! Ukimuuliza how far unamjua unayempigia makelele atakuambia ..imeandikwa...blah blah kibao!
 
Dah! Ivi mpaka leo kuna baadhi ya watu hawaamin uwepo wa MUNGU!
Nasikitija kukwambia umekufuru sana rafik yangu.
Omba toba kwa Mungu kupitua Iman yako maana inaonyesha uwezo wako wakufikir ni mdogo.
Labda nikupe mfano.

Mtoto anapokuwa tumboni kwa mama yake anayesimamia zoezi zima kuanzia yai kupevuka, kurutubishwa, kupewa uhai na mpaka anazaliwa ninani anaefanya kazi hiyoo?
Nipe prooof isiyo na mashaka kuwa Mungu yupo! Usiniambie revelations which are unscientific! Naamini katika evolution, ndiyo maana through scientific manipulations, a somatic cell can be engineered to become a reproductive/germ cell! Technology hii kama siyo kuzuiwa for ethical reasons, tungelikuwa na watu ambao wamekuwa produced from the lab!
 
Wewe na wenzio wa aina yako ni wale mnaofungwa kwenye kiti cha plastic na mfano wa kamba ila mnasimama kikondoo tu hadi aliyekufunga aje kukufungua, kudhani una akili kwa kuwa uliambiwa unazo sio ithibati ya kuthibitisha kwamba wewe una uwezo mkubwa sana wa kuwa huru kimawazo...
Maneno butu hayo.. shida ni kwamba watu kama nyinyi mkifa tunashindwa tuwafanye nini..!

Je tuwatupe mstuni au tuwachome moto.. maana imani zenu hazieleweki yaani ni janga la dunia
 
Unapotea kwa kutumainia macho yakuongoze na milango mingine ya fahmu iliyo nje .Itafika hatua utasema upepo haupo kwa sababu macho hauonekani na hauna umbo.Swala la kuwa wewe Mweusi na structure nyingine ni nyeupe kisikusumbue,Nafsi zetu au Roho zetu ndizo tuliumbwa sawa ila zikapewa uhuru wa kubadilika si kwa rangi bali kwa imani.Ukiamua uwe mwizi na mzungu utampata mwiz,ukiwa huna iman kwamba Mungu yupo utamkuta Mzungu mnae fanana nae.
Sasa Roho yako kuwa kwenye structure yenye rangi nyeusi na mwingine nyeupe isikusubue naomba uongeze reasoning yako ndipo utajua mungu yupo.
My argument is, Mungu siku ya mwisho, according to vitabu vya dini aliumba mwanadamu. Mke na Mume, Adam and Eva. Walikuwa weupe, na hivyo uzao wao ulikuwa weupe. Sasa sisi waafrika weusi tulitoka wapi? Na kwa nini tulikuja kujikuta tupo hapa Africa, particularly south of Sahara?- geographical location! Experience shows us kuwa wazungu wakija Afrika hawabadiliki kuwa weusi (naogopa utasema tuli-migrate tukaja kwenye tropics tukawa weusi) . Tunaambiwa Mungu aliumba vitu kwanza vimsaidie mwanadamu na ndiyo maana alimuumba mwisho, sasa vitu vya kumtesa mwanadamu kama magonjwa viliumbwa lini na wakati kusudio lake lilikuwa kuumba vya kumsaidia mwanadamu? UTASEMA NINAKUFURU!
 
Tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Tofauti na malaika binadamu tuna free will. Baada ya Yesu Kristo kufa msalabani ili tuhesabiwe haki, basi imebaki ni machaguo yako tu uende mbinguni au motoni. Si Mungu anayekupeleka. Yes binadamu ni dhaifu na wadhambi, lakini hakuna mtu atakayekulazimisha (hata Mungu) kukiendea kiti che rehema cha Mungu kutubu. Hivyo Mungu hapendi (mungu anapenda) mtu yoyote apotee bali wote tuiendee toba.
fundisho la moto wa milele lilianzishwa na shetani ili Mungu aonekane mkatili. pia baadhi ya wakristo wamepotosha tafsiri. mfano wa tafsiri iliyopotoshwa ni marko 9: 47-48.
47
Nalo jicho
lako litakusababisha kutenda dhambi, ling’oe. Ni
afadhali kuwa chongo ukaingia katika Ufalme wa
Mungu kuliko kuwa na macho mawili na ukatupwa
jehanam.
48
Mahali ambako
“ ‘funza wake hawafi,
wala moto hauzimiki.’


tunapaswa kujiuliza je huko jehanamu watu watakuwa hai wakiteseka milele? isaya 66: 24 inajibu. 24
Nao watatoka nje na kuitazama mizoga ya watu walioniasi; maana funza wao hatakufa, wala moto wao hautazimika nao watakuwa chukizo machoni pa wote wenye mwili.


hapo inasema watu waliomuasi Mungu watakuwa mizoga (tafsiri zingine zinasema maiti). hivyo hawatakuwa na maumivu yoyote. waovu wataharibiwa milele na neno jehanamu (dampo la Jerusalemu) linawakilisha uharibifu/kifo cha milele.
zaburi 37:9-10 inakazia waovu wataangamizwa na si kuteswa.

9 Watu watendao mabaya wataangamizwa,
bali wanaomtumaini Mwenyezi-Mungu wataimiliki nchi.
10 Bado kitambo kidogo, naye mwovu atatoweka;
utamtafuta pale alipokuwa, wala hutamwona
 
Maneno butu hayo.. shida ni kwamba watu kama nyinyi mkifa tunashindwa tuwafanye nini..!

Je tuwatupe mstuni au tuwachome moto.. maana imani zenu hazieleweki yaani ni janga la dunia
Tukifa it is a matter of nutrient circulation! A process in the food web!
 
Mungu hayupo! Ni mastory ya watu tu wajanja ! Nakuuliza swali: Kama Mungu aliwaumba Adamu na Eva, walikuwa weupe, sasa weusi , wachina, wazungu walitoka wapi? Aliwaumba siku moja, ilikuwaje wakaa kama walivyo sasa hivi! Kwa nini Mungu aliumba bacteria, virus etc wa kumuumiza mwanadamu? Aliwaumba lini na tunaambiwa aliumba vitu vya kumsaidia mwanadamu! Maswali ni mengi ukiyatafakari unaambiwa UNAKUFURU ili usidaisi
Mkuu ulishawahi kaa siku moja ukafikiria jinsi mwili wa binadamu ulivyo complex? Na nani hasa aliudesign na kuutengeneza hapo ndio utajikuta lazima uamini kuwa Mungu yupo tena kweli kabisa.
 
Maneno butu hayo.. shida ni kwamba watu kama nyinyi mkifa tunashindwa tuwafanye nini..!

Je tuwatupe mstuni au tuwachome moto.. maana imani zenu hazieleweki yaani ni janga la dunia

Imani ni nini?
 
Mkuu ulishawahi kaa siku moja ukafikiria jinsi mwili wa binadamu ulivyo complex? Na nani hasa aliudesign na kuutengeneza hapo ndio utajikuta lazima uamini kuwa Mungu yupo tena kweli kabisa.
Very complex machine/industry through evolution!
 
Kwanini shetani asumbue dunia hadi mungu awachome moto watu wake??shetani pia ni kiumbe cha mungu si ndio...kwanini kiumbe kimoja kimsumbue mungu hadi hasira yake iwake namna hiyo..? Lengo ni nini hasa??
 
Mkuu ulishawahi kaa siku moja ukafikiria jinsi mwili wa binadamu ulivyo complex? Na nani hasa aliudesign na kuutengeneza hapo ndio utajikuta lazima uamini kuwa Mungu yupo tena kweli kabisa.
Wewe ni mnyama kama wanyama wengine, na kila aina ya wanyama ina mawasiliano ya aina yake. Nao wataenda mbinguni?
 
IMANI NI KUAMINI KUWA JAMBO FULANI NI LA KWELI KWELI KABISA BILA MASHAKA NA BILA USHAHIDI WA KISAYANSI

Kwanini asiwaze nje ya box kwamba anayemfundisha kuamini ni kwamba naye imemchukua muda mrefu sana kusomea kufundisha watu waamini? It's strange inafika pahala anatokea mtu tu mwenye ujuvi wa kupiga makelele yasiyo na mpangilio of whom anaweza kuku comand hata uvue nguo nawe unavua tu simply kwa kuwa mpiga makelele ni anointed! Sitaki kusema sana hawachelewi kusema shetani ni mjomba wangu!
 
Hakuna cha moto wala nini.. kwanza jehanam ni eneo liko israel watu wanaenda kula bata..
Gehenna from the Hebrew Gehinnom , is the Jewish analogue of hell or purgatory in Christianity. The terms are derived from a place outside ancient Jerusalem known in the Hebrew Bible as the Valley of the Son of Hinnom . The Valley of Hinnom is the modern name for the valley surrounding Jerusalem's Old City, including Mount Zion, from the west and south. It meets and merges with the Kidron Valley, the other principal valley around the Old City, near the southeastern corner of the city.

In the Hebrew Bible, Gehenna was initially where some of the kings of Judah sacrificed their children by fire.[1] Thereafter it was deemed to be cursed (Jer. 7:31, 19:2-6).[2]

In Jewish Rabbinic literature, and Christian and Islamic scripture, Gehenna is a destination of the wicked.[3] This is different from the more neutral Sheol/Hades, the abode of the dead, although the King James Version of the Bible usually translates both with the Anglo-Saxon word Hell.

In the King James Version of the Bible, the term appears 13 times in 11 different verses as "Valley of Hinnom", "Valley of the son of Hinnom" or "Valley of the children of Hinnom."
Ge-Hinnom.jpg


cehennem_431941.jpg
 
Kwanini shetani asumbue dunia hadi mungu awachome moto watu wake??shetani pia ni kiumbe cha mungu si ndio...kwanini kiumbe kimoja kimsumbue mungu hadi hasira yake iwake namna hiyo..? Lengo ni nini hasa??

Shetani ni 'imaginary spirit' kuna mambo tunafichwa tu, haiwezekani Mungu atumie muda mrefu na ubunifu namna hii kuumba the said Mbingu kisha mwanadamu halafu akorofishane na kajamaa kadogo tu kisha alete distruction kubwa namna hii duniani na huko ahera tunakoambiwa!
 
Hakuna cha moto wala nini.. kwanza jehanam ni eneo liko israel watu wanaenda kula bata..
palikuwa dampo la jiji kama kulivyo pugu. yesu alifananisha mwisho wa waovu sawa na kutupwa kwenye dampo la jiji. hakuna moto wa mateso bali kuna uzima wa milele kwa waadilifu na kifo cha milele kwa waovu.
 
Back
Top Bottom