Ni fani gani ukiwa nayo huwezi kulala njaa, popote duniani?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Harakati za kuvuka boda zinaendelea

Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land
Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo

Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha yoyote uhakika wa kusurvive utakuwepo???

Kama wewe hujawai kwenda hata Burundi huna Thamani ya kujibu thread hii jifunze.

Matusi na kejeli ruksa.
#bongo miyeyusho
 
Kinyozi,mtaji machine yako tu
 
Ufundi, Kwa CCM ya sasa Mwanangu lazima nimpeleke Ufundi wa Magari.
 
Harakati za kuvuka boda zinaendelea

Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land
Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo

Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha yoyote uhakika wa kusurvive utakuwepo???

Kama wewe hujawai kwenda hata Burundi huna Thamani ya kujibu thread hii jifunze.

Matusi na kejeli ruksa.
#bongo miyeyusho
Plumber
 
Hapana mkuu, Kuna nchi huwezi kufanya KAZI unazofanya bongo ukizingatia wewe ni black skin colour.
Yeah najua ila kwa mtu anaewinda big fish awinde US , Canada , Japan na Australia
 
Harakati za kuvuka boda zinaendelea

Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land
Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo

Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha yoyote uhakika wa kusurvive utakuwepo???

Kama wewe hujawai kwenda hata Burundi huna Thamani ya kujibu thread hii jifunze.

Matusi na kejeli ruksa.
#bongo miyeyusho
Utapeli
 
Back
Top Bottom