Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Nipo nje kwa wenzetu
Yaani huku huku unapotaka kuja
Kuna siku nilikuwa nataka kubadili choo kamili kuanzia sink ya maji na seat na shower pamoja na tiles
Nikamuona kijana wa kihindi akijenga na kukarabati hotel moja ya wadosi
Nikamuita nikachukua namba akaja home
Hata English hajui bado mgeni mgeni kaja kwa visa ya kusoma naona kazamia
Ni fundi mzuri sana na nimeona kazi zake pia kanionyesha
Alisema kila kitu yaani ufundi na vifaa ni £2800
8.4m ya kibongo
Yeye kala 1200 kama 3.6m sh kwa kazi ya siku mbili ya tatu kamaliza
Alikuja na mkalimani
Kazi za mkono zote zinalipa tena unapiga kwa foreigner wanaotaka punguzo kidogo na bargaining
Kupaka rangi inalipa ila inataka uvumilivu sana kupata kazi
Chumba kinaanza na £200 vifaa anatoa yeye
Laki 6 hiyo kwa chumba tena posh area na chumba kikubwa sana ni mpaka 3m kwa chumba
Umesoma vizuri yes 3m ya bongo na zaidi
Au unaweza kusomea hapa Gas engineer kwa miezi miwili tu namna kufunga gas kwenye manyumba na kubadili.
Unalipa £4500 kwa installments Ukipata cheti chako unanunua tools zako na van yako
Unaanza kazi wao wanakutafutia kazi
Inalipa vizuri sana yaani kubadili Gas tank na kuweka mpya nililipa £1300 kufunga tu hiyo ni 4m
Haya vuka border sasa hata kwa kuogelea