Ni fani gani ukiwa nayo huwezi kulala njaa, popote duniani?

Unaamini katika nini mkuu?
Siamini katika imani ya chochote kaka mkubwa, zaidi ya uwezo wangu tu, binafsi najiamini/ kujikubali mpaka nakera mda mwingine 😅🤣😅
 
Tell me haupo Tiizii, wengi wakitoka tu kuna namna ubongo unskuwa formatted upya🤣🤣🤣
 
Nipo tandahimba huku kaka mkubwa ila ni kati ya watu wana maono makubwa kuhusu uchumi na mafanikio , na siku nitakata tamaa ni hiyo siku nakata roho tu 😅 huwa sinaga imani za kijinga jinga tu🤣🤣
 
Pambania kombe mkuu, hakuna kukata tamaa hasa kwa nyie vijana wadogo.
 
Japan kingereza wanakijua mno
Japan kugumu sanaa kuingia....US pia ngumu sana...jaribu scandnavia finland sweden norway huko na Denmark...Belgium...utapata skili ukishindwa nenda zbar kamata mbibi kitaliano faster uko Italy.....miaka 97 jamaa yangu alirudia Narita Airport mwenyeji alizingua .....hakupatikana 6hrs....karudi akiwa hasira sana...nauli alikopa kopa shida.....alienda kama visitor mjapani kumpokea...acha tuuu...
 
Nijaribu tena tena ? Nipo nchi ya ndoto ya wanadamu wengi mkali miaka 7 kwa sasa
 
Ulaya imekuwa ngumu kama ngozi ya pumbu la kiwete.. depression niyakufikia tu
 
Fundi nguo hawa jamaa muda wote utawakuta wako bize na kuweka viraka kwenye nguo
 
Harakati za kuvuka boda zinaendelea

Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land
Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo

Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha yoyote uhakika wa kusurvive utakuwepo???

Kama wewe hujawai kwenda hata Burundi huna Thamani ya kujibu thread hii jifunze.

Matusi na kejeli ruksa.
#bongo miyeyusho
Betting
 
Back
Top Bottom