min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mtihani huuBig fish sijui ni nini
Mtihani huuBig fish sijui ni nini
Unaposema big fish unataka nitumie communicative translation au word to word translation?Mtihani huu
OK ni usiku na ninalewa just potezea tu bwasheeUnaposema big fish unataka nitumie communicative translation au word to word translation?
Hakuna mthiani sema wewe hujawa specific
Mmh hii siamini kaaa nayoKusuka.
Najua hutoamini
Katoto upo?Kusuka.
Najua hutoamini
Daktari anae lala njaa atakua mjinga mno huyoUdaktari
Nilijua tu. lakini kama huamini sawa,Mmh hii siamini kaaa nayo
Leloo Umelewa mapema au ulianza Asubuhi na kisusioKatoto upo?
Hahahaha kadogo kangu wewe ni kakorofi mno sema nakupenda hivyo hivyo tu 😊Leloo Umelewa mapema au ulianza Asubuhi na kisusio
Umevuta kushabu?Subirini ndo navuka hapa sijui ntafika kimara
Tatizo lako huamini katika Imani yetu kuu ya Yesu, ningekuita sehemu kama upo hii Ardhi. Uje usalimie dada zako.Hahahaha kadogo kangu wewe ni kakorofi mno sema nakupenda hivyo hivyo tu 😊
Vipi huko Scandinavian countries.?Yeah najua ila kwa mtu anaewinda big fish awinde US , Canada , Japan na Australia
Ni nzuri kaka mkubwa ila nchi nyingi lazima ujue lugha yao , ila kwa US hata kingereza cha kuombea maji tu kazi unapata bwashee 🤗Vipi huko Scandinavian countries.?
Kabisa imani za dini , niache kabisa😅😅Tatizo lako huamini katika Imani yetu kuu ya Yesu, ningekuita sehemu kama upo hii Ardhi. Uje usalimie dada zako.
Nalo neno, sasa huko Japan si itakuwa shida. Ila ukiamua kuvuka boda muhimu kuwa flexible ujifunze lugha za watu.Ni nzuri kaka mkubwa ila nchi nyingi lazima ujue lugha yao , ila kwa US hata kingereza cha kuombea maji tu kazi unapata bwashee 🤗
Unaamini katika nini mkuu?Kabisa imani za dini , niache kabisa😅😅