Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Kinyozi,mtaji machine yako tuHarakati za kuvuka boda zinaendelea
Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land
Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo
Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha yoyote uhakika wa kusurvive utakuwepo???
Kama wewe hujawai kwenda hata Burundi huna Thamani ya kujibu thread hii jifunze.
Matusi na kejeli ruksa.
#bongo miyeyusho
Safi note taken.Kinyozi,mtaji machine yako tu
Kama huna ushauri kaaa kimya au Kuna kende.Wahubiri
Ufundi, Kwa CCM ya sasa Mwanangu lazima nimpeleke Ufundi wa Magari.Harakati za kuvuka boda zinaendelea
Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land
Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo
Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha yoyote uhakika wa kusurvive utakuwepo???
Kama wewe hujawai kwenda hata Burundi huna Thamani ya kujibu thread hii jifunze.
Matusi na kejeli ruksa.
#bongo miyeyusho
Hapana mkuu, Kuna nchi huwezi kufanya KAZI unazofanya bongo ukizingatia wewe ni black skin colour.Hauwezi kulala njaa kama una akili timamu ila popote pale unahitajika uwe jasiri na mpambanaji
PlumberHarakati za kuvuka boda zinaendelea
Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land
Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo
Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha yoyote uhakika wa kusurvive utakuwepo???
Kama wewe hujawai kwenda hata Burundi huna Thamani ya kujibu thread hii jifunze.
Matusi na kejeli ruksa.
#bongo miyeyusho
Nina miezi miwili tu kaa bongo ufundi magari ni long term professional kujifunzaUfundi, Kwa CCM ya sasa Mwanangu lazima nimpeleke Ufundi wa Magari.
Safiii imeenda iyoPlumber
Yeah najua ila kwa mtu anaewinda big fish awinde US , Canada , Japan na AustraliaHapana mkuu, Kuna nchi huwezi kufanya KAZI unazofanya bongo ukizingatia wewe ni black skin colour.
Hizo nchi huwezi kuingia direct mana visa na nauli kipengele nataka kupitia Dubai kwanza the center of the worldYeah najua ila kwa mtu anaewinda big fish awinde US , Canada , Japan na Australia
Ahsante ila nchi zilizoendelea, hata kama una leseni kumi, ukifika kule lazima usome upya mana traffic road signs za huko duniani huku kwa mama samia hakunaUdereva Mkuu ,
Mkuu winda big fish kwa ari ya kiwango cha juu mno .Hizo nchi huwezi kuingia direct mana visa na nauli kipengele nataka kupitia Dubai kwanza the center of the world
Big fish sijui ni niniMkuu winda big fish kwa ari ya kiwango cha juu mno .
UtapeliHarakati za kuvuka boda zinaendelea