Ni fani gani ukiwa nayo huwezi kulala njaa, popote duniani?

Kama shida ni kukwepa kulala njaa tu jitahidi kuwa na ulimi mtamu miksa konfidensi hautokuja kujutia.



MAGUFULI4LIFE.
 
Hahahaha kadogo kangu wewe ni kakorofi mno sema nakupenda hivyo hivyo tu 😊
Tatizo lako huamini katika Imani yetu kuu ya Yesu, ningekuita sehemu kama upo hii Ardhi. Uje usalimie dada zako.
 
Vipi huko Scandinavian countries.?
Ni nzuri kaka mkubwa ila nchi nyingi lazima ujue lugha yao , ila kwa US hata kingereza cha kuombea maji tu kazi unapata bwashee 🤗
 
Ni nzuri kaka mkubwa ila nchi nyingi lazima ujue lugha yao , ila kwa US hata kingereza cha kuombea maji tu kazi unapata bwashee 🤗
Nalo neno, sasa huko Japan si itakuwa shida. Ila ukiamua kuvuka boda muhimu kuwa flexible ujifunze lugha za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…