Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Tupande juu tushuke chini
Ranger rover Evoque ni balaa
Magari karibu yote ya land rover yana maisha mafupi sana na yana magonjwa ya hovyo na ni sumbufu sana,
Kuna jamaa yangu ana hii range rover vella, akifungua bonnet nayaona kabisa matatizo ya land rover 109, ya miaka ya 70, leakeges kwenye engine na gearbox
Ila kwa sura na features aah, wapo vizuri sana
 
Aise wanajitahidi sana
Kumiliki hyo gari ni kama umeoa mke ana sura nzuri ana umbo zuri ila hajatulia anachapwa sana ndani
 
Hata wakiniambia ina CC kubwa, hilo ndio chaguo langu. Ingawa huju ninapoishi kwa kikimanjaro kuna outlander nyingi za kutoka kenya na watu wanaanza kuzielewa.
Outlander new model nayo ina balaa...
Sema bongo mzunguko tu wa hela ni mdogo wenye hela ni wachache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…