Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Subaru Forester maana ilikatisha maisha ya Brother wangu natamani na nitainunua Mungu akipa uzima.

Nataka kuinunua kisha nitembee nayo mpaka Kigoma alafu nikirudi niipark niwe naitazama tu.
 
Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.

View attachment 3063171
Utoto raha. Bila shaka huna majukumu. Hiyo kauli hutaisa siku mambo yakipandiliana. Fight sana upate hela nyingi na hizo hela hakikisha unazishika zisiishe. Vinginevyo utalipaki kwa kukosa mafuta ama utalitelekeza gereji siku likibuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…