fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Huyu mnyama na raha yake uikatie comprehensive insurance utaenjoy sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mnyama na raha yake uikatie comprehensive insurance utaenjoy sana
Taja mwaka wa gari mkuu new model harafu unakuta ni ya 2010...wakati toleo jipya ni 2024..Harrier new Model.... Soon.
Hizi gari nzuri kwa shamba kutembelea ni matatizo tu ya mgongo seat ngumu...LAND CRUISER HARD TOP...
Hakuna Jimny ya 5 doors.
Harrier Anaconda😘Harrier new Model.... Soon.
Utoto raha. Bila shaka huna majukumu. Hiyo kauli hutaisa siku mambo yakipandiliana. Fight sana upate hela nyingi na hizo hela hakikisha unazishika zisiishe. Vinginevyo utalipaki kwa kukosa mafuta ama utalitelekeza gereji siku likibuma.Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.
View attachment 3063171
Magari yote unayataka Depal 😊 duhHarrier Anaconda ya 2023. Yale macho yananikosha..iwe nyeusiii
Audi Q5 iwe nyeusiii
BMW X5 iwe nyeusiii
Nissan xtrail ya 2024 iwe dark blue 🔥
Naziendesha sana ndotoni hizo gari 🥰