Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Harrier ,Fortune,Prado Tx,V8 na LC 300 .Mtiririko utakua hivi
 
Sasa hapa inabidi ujiandae kuchukua fomu ugombee ubunge ushinde uwe waziri ukakwapue hiyo miela ya kuendesha hiyo migari.

Kibongo bongo kupata shughuli halali za kufanya ununue hiyo gari hakuna mifumo ya kiuchumi bado iko chini sana kumtajirisha raia mmoja mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…