Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
andaa kuanzia milioni mia mbili na 50..LC 300 ZX edition with a pearl white color! InShaaAllah π’
Zlivyoingia bongo ilianza kwenye mil 90, sijajua kwa sasaUlivyoandika kama una uhakika 100% sema umepitiwa tu ndugu yangu zipo zimetoka kuanzia 2018 wewe hii 2024 unasema hakuna?
LX 300 used nje inaanzia mil 500, hiyo bei uliyotaja hapo labda abahatishe LX 570 ya miaka ya nyuma zaidiandaa kuanzia milioni mia mbili na 50..
Kaka hicho kina kinaanzia 370+ kwa trim hiyo niliyoichagua, lakini inaweza kuzidi hadi kufika 450 huko, kuna features nikianza kuzielezea hapa itakua gazeti... Lakini zile editions zengine kama GX, GXR, VX, VXR n.k zinakua chini kidogo!andaa kuanzia milioni mia mbili na 50..
Lipa namba ya sadaka umesahauAya wote pokeeni magari ya ndoto zenu. Itikieni Amen napokea mtume.
mi nikipata V8 VX inatosha hata kama ni ya mwaka 2005ππKaka hicho kina kinaanzia 370+ kwa trim hiyo niliyoichagua, lakini inaweza kuzidi hadi kufika 450 huko, kuna features nikianza kuzielezea hapa itakua gazeti... Lakini zile editions zengine kama GX, GXR, VX, VXR n.k zinakua chini kidogo!
,Prado Tx