Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

Kosea yote ila usijaribu kununua hii gari
Ferrari 458 MM Speciale ni ya mwaka 2016 , kwanza ina viti viwili tu , pia Matuta ya kibongo haipiti 😃😃
Natania wadau !!
8b32d78e8927a6299a9957dca9fb02a1.jpg
 
Nissan Xtrail generation ya kwanza. Binafsi nimemiliki na waliomiliki ambao nipo nao karibu wamepatwa na mauza uza.

Inaweza chemsha isionyeshe kwenye dash, inaweza amua isiwake tu bila sababu ukaita fundi akifika akawasha tu ikawaka na asione tatizo. Unaishia kumlipa usumbufu.

Kuna moja iligoma kuwaka ikashtakia sensor, sensa mpya ikawekwa ikagoma, kila sensor ikiwekwa inagoma ikarudishiwa ya kwake iliyokuwepo mwanzo ikakubali.
Duu ni zaidi ya kifafa basi
 
Nissan Xtrail generation ya kwanza. Binafsi nimemiliki na waliomiliki ambao nipo nao karibu wamepatwa na mauza uza.
.
Hii shida ilikua kwenye X5. Unatoka home vizuri tu unafika mahali unapaki.

Ikifika muda wa kuondoka kimbembe kinaanza. Unawasha inasusa for no reason...

Inabidi usubiri kidogo tena uwashe.. Unawaza kufanya attempt mara tatu hadi 4 ndio inakubali...

Ikawa sasa ukienda mahali inabidi Ukikaribia muda wa kuondoka unatoka unatest ikigoma unarudi kuendelea na mambo mengine... Ikikubali ndio hapo hapo inabidi uondoke

Sent from my MAR-LX1A using JamiiForums mobile app
 
Hii shida ilikua kwenye X5. Unatoka home vizuri tu unafika mahali unapaki. Ikifika muda wa kuondoka kimbembe kinaanza... Unawasha inasusa for no reason... Inabidi usubiri kidogo tena uwashe.. Unawaza kufanya attempt mara tatu hadi 4 ndio inakubali... Ikawa sasa ukienda mahali inabidi Ukikaribia muda wa kuondoka unatoka unatest ikigoma unarudi kuendelea na mambo mengine... Ikikubali ndio hapo hapo inabidi uondoke

Sent from my MAR-LX1A using JamiiForums mobile app
Hahaha. Kama upo ugenini Inabidi usiage unaondoka tafuta sababu ya kutoka toka kuijaribu ikiwaka iache silence rudi aga.
 
Hii shida ilikua kwenye X5. Unatoka home vizuri tu unafika mahali unapaki. Ikifika muda wa kuondoka kimbembe kinaanza... Unawasha inasusa for no reason... Inabidi usubiri kidogo tena uwashe.. Unawaza kufanya attempt mara tatu hadi 4 ndio inakubali... Ikawa sasa ukienda mahali inabidi Ukikaribia muda wa kuondoka unatoka unatest ikigoma unarudi kuendelea na mambo mengine... Ikikubali ndio hapo hapo inabidi uondoke

Sent from my MAR-LX1A using JamiiForums mobile app
Ukiona hivyo ujue brush za kwenye starter zimekwisha. Fungua starter badlisha
 
Wana Jf salaam,

Ikiwa ni weekend tulivu kabisa.
Kama tujuavyo, kumiliki gari sasa hivi ni miongoni mwa vitu vya muhimu sana.

Wamiliki wapya wanaongezeka kila kukicha, na kwa bahati mbaya wengi hujikuta wanamiliki magari ambayo baadae yanakuja kuwapa changamoto na kujutia kabisa.

Leo embu tuambiane ukweli, pengine kupitia uzi huu utakua msaada kwa mtu au watu kabla ya kufanya maamuzi ya kuingia kwenye dunia ya umiliki wa gari.

Ni gari gani ambayo hauwezi kumshauri mtu kununua na ni kwanini.?
Gari ambayo inauzwa chini ya Milion 100 na ambayo ni imezalishwa chini ya mwaka 2018.
 
Ukitaka kununua gari nunua basi kizazi hata cha tatu na sio cha Kwanza sababu cha Kwanza mara nyingi kinakuwaga na matatizo ila kadili wanavyotoa vizazi vingine wanafanya mabadiliko makubwa ya kwenye injini
Duh mimi kwenye Toyota/Lexus naona Bora kukamata generations za mwanzo, Maana wao generations zinavyozidi kuwa latest ndivyo nao wanaanza kuwa complicated Kama vile Wajerumani.
 
Hii shida ilikua kwenye X5. Unatoka home vizuri tu unafika mahali unapaki. Ikifika muda wa kuondoka kimbembe kinaanza... Unawasha inasusa for no reason... Inabidi usubiri kidogo tena uwashe.. Unawaza kufanya attempt mara tatu hadi 4 ndio inakubali... Ikawa sasa ukienda mahali inabidi Ukikaribia muda wa kuondoka unatoka unatest ikigoma unarudi kuendelea na mambo mengine... Ikikubali ndio hapo hapo inabidi uondoke

Sent from my MAR-LX1A using JamiiForums mobile app
Hiyo yako ilikuwa mbovu tu. Kuna watu wa X5 mwaka wa nne huu haziwasumbui.. kama zingekuwa na huo ubovu mna taka kuwaaminisha watu humu kusinge kuwa na BMW leo hii humu mitaani.. kuna watu wana X5 usajiri wa herufi A zinachapa moto kama kawa
 
Back
Top Bottom