Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

Hahaha. Kama upo ugenini Inabidi usiage unaondoka tafuta sababu ya kutoka toka kuijaribu ikiwaka iache silence rudi aga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Acha tu yani. Gari muenekano mkali, sifa kama zote. Ila siri unaijua mwenyewe. Unajikuta gari unaichukia tu, Ukiangalia unapata hasira.

Imagine umetoka na date alafu mashine inaanza huu ujinga.

Sent from my MAR-LX1A using JamiiForums mobile app
 
Ukiona hivyo ujue brush za kwenye starter zimekwisha. Fungua starter badlisha
Haikua hata Brush mkuu. Brush zikizingua mwisho wa siku haiwaki kabisa. Lakini hii ilikua inaamua iwake au isiwake.

Badae lilikuja zingua mambo mengine, mkwanja wa kulirudisha road ukawa mrefu sana. Bahati nzuri nikakutana na jamaa nae ana yake nayo pasua kichwa anauza kwa bei ya "hasira" kama kutupa vile. Nikalichukua kama spare za kuirudisha road.. Akatokea jamaa mshamba wa gari za ulaya nikamsukumia kwa bei safi kabisa. Enzi hizo chuga hela ya mawe nje nje.

Sent from my MAR-LX1A using JamiiForums mobile app
 
Hiyo yako ilikuwa mbovu tu. Kuna watu wa X5 mwaka wa nne huu haziwadumbui.. kama zingekuwa na huo ubovu mna taka kuwaaminisha watu humu kusinge kuwa na BMW leo hii humu mitaani.. kuna watu wana X5 usajiri wa herufi A zinachapa moto kama kawa
Sidhani kama kuna mahali nimesema yote mabovu.

Sent from my MAR-LX1A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom