Haikua hata Brush mkuu. Brush zikizingua mwisho wa siku haiwaki kabisa. Lakini hii ilikua inaamua iwake au isiwake.
Badae lilikuja zingua mambo mengine, mkwanja wa kulirudisha road ukawa mrefu sana. Bahati nzuri nikakutana na jamaa nae ana yake nayo pasua kichwa anauza kwa bei ya "hasira" kama kutupa vile. Nikalichukua kama spare za kuirudisha road.. Akatokea jamaa mshamba wa gari za ulaya nikamsukumia kwa bei safi kabisa. Enzi hizo chuga hela ya mawe nje nje.
Sent from my MAR-LX1A using
JamiiForums mobile app