Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahah we unaona iko sawa ileNilijua tu lazima umuweke juke sijui alikukosea nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah we unaona iko sawa ileNilijua tu lazima umuweke juke sijui alikukosea nini
Kana bei Sawa na Subaru foresterHahahahah we unaona iko sawa ile
kuna mahali nilishiriki kuaga msiba mmoja nikakuta magari matano matatu yakiwa BMW yametaga kabisa.Kama maisha ya kuunga unga nitamkataza haya:
BMW
BMW
BMW
BMW
BMW
[emoji419]Tukubaliane kua wengi wetu vipato, utunzaji na kuwa na connection na mafundi wazuri ndio tatizo au kikwazo cha kumiliki aina fulani ya gari.
Kinachofurahisha sisi waswahili unakuta nazungumzia Benz au BMW wakati uwezo wangu ni Starlet au Passo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Gari kali ile weweHahahahah we unaona iko sawa ile
Kale kaushenzi sini heri mniue, google chura wa zuma revengeGari kali ile wewe
Sasa Forester na yule chura wa "Zuma Deluxe" utawafananishaje?Kana bei Sawa na Subaru forester
Ukiona hivyo ujue brush za kwenye starter zimekwisha. Fungua starter badlisha
x- trial ni mabovu sana hasa gear boxNissan X trail kizazi cha Kwanza na cha pili
ina maana haitumii mafuta..Gari yoyote inayotumia umeme mtupu (full electric). Mbali na vipuri umeme nao haina guarantee.
Subaru hata usiulize kimbia haraka kanunue... ukitaka ya juu kidogo chukua Forester, ukitaka ya chini nunuama Impreza...Vipi kwa Subaru ?
Kipigo Cha kwanza tu, electric water pump 😄😄😄
Kuna gari moja pendwa sana
Ina version tofauti za engine
RAV 4 KILL TIME(SECOND GENERATION)
Iko na engine za aina mbili
Kuna 1ZZ VVT(Haina shida hii)
Kuna 1AZ SFE(Hapa ndo changamoto)
Kwepa hii engine maana rav 4 nyingi zenye hiyo engine zimepack zinaleta usumbufu sana has kwa long safari. Zinachemsha na unapaswa kujiandaa kubadil block or full engine kila muda
Nimewahi kuwa bayo hii gari kwa miaka 2 niliuza kwa hasara kabisa
Na wabaojua gari vizuri wakiona hiyo engine wanakwepa biashara hiyo
Hii shida ilikua kwenye X5. Unatoka home vizuri tu unafika mahali unapaki.
Ikifika muda wa kuondoka kimbembe kinaanza. Unawasha inasusa for no reason...
Inabidi usubiri kidogo tena uwashe.. Unawaza kufanya attempt mara tatu hadi 4 ndio inakubali...
Ikawa sasa ukienda mahali inabidi Ukikaribia muda wa kuondoka unatoka unatest ikigoma unarudi kuendelea na mambo mengine... Ikikubali ndio hapo hapo inabidi uondoke
Sent from my MAR-LX1A using JamiiForums mobile app
Na Benz, Land Rover, Porche, Bentley, n.k.Ongezea audi,volkswagen hapo