Ni Gari gani? ndogo for long safari

Sasa Dar •• Ars napo unauliza gari imara daa? Route fupi sana hiyo.

Nilidhani labda Dar Mby hapo sawa au Dar Songea na Dar Musoma oohps!!
 
Hata mimi niliponunua walisema hayo ya engines za D4, lakini mpaka sasa inapiga kazi na sijapata shida yoyote. Ukitaka pia zipo VVTI. Tofauti ya D4 VVTI na VVTI ni kuwa D4 zinatupa fuel moja kwa moja kwenye combustion chamber wakati VVTI zinatupa kwenye inlet manifold kisha huchanganywa na hewa ndio viende kwenye combustion chamber. hapo ndio unakuta VVTI inakula zaidi mafuta cuz inakuwa na likelihood ya incomplete Burning of fuel.
Kwa kifupi sijaona tatizo la D4.labda tu kitaalamu wanasema pia Engines zinakuwa na Noise uki compare na Full VVTI.
 
Mkuu nimekuelewa... Na kwenye kelele ni kweli kabisa ila hiyo full VVTi huwa silencer mnoo imetulia.
 
Ferrari wana option ya Dual Clutch system ambayo gear zipo kwenye steering unafanya Ku push high na low gear badala kuhangaika kukanyaga mafuta mengi u just control gears at ur hands
Hio inaitwa paddle shifting, hata gari za kawaida kama Mazda rx 8 Zina hio system
 
I'll recommend VW Golf, BMW 320, Toyota Carina Ti.
 
Gari yoyote well serviced inatoboa vizuri tu, dar arusha km 650 sio big deal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…