Ni Gari gani? ndogo for long safari

Ni Gari gani? ndogo for long safari

Sasa Dar •• Ars napo unauliza gari imara daa? Route fupi sana hiyo.

Nilidhani labda Dar Mby hapo sawa au Dar Songea na Dar Musoma oohps!!
 
Duh chief utakua msaada kwangu,nna mahaba na Voltz ila nimekula salio sasa jamaa akanipa option ya Caldina kua iko poa ili aniagizie watu wananiambia D4 VVTI ni engine magmashi sana zinasumbua ila hiyo ni CC 1990 ya mwaka 2003 nakusogezea na picha unipe uhalisia,bei kakomaa 11 anasmea hapo kanionyesha ushikaji pia.
View attachment 376060
View attachment 376062
Nitashukuru nikipata muongozo.
Hata mimi niliponunua walisema hayo ya engines za D4, lakini mpaka sasa inapiga kazi na sijapata shida yoyote. Ukitaka pia zipo VVTI. Tofauti ya D4 VVTI na VVTI ni kuwa D4 zinatupa fuel moja kwa moja kwenye combustion chamber wakati VVTI zinatupa kwenye inlet manifold kisha huchanganywa na hewa ndio viende kwenye combustion chamber. hapo ndio unakuta VVTI inakula zaidi mafuta cuz inakuwa na likelihood ya incomplete Burning of fuel.
Kwa kifupi sijaona tatizo la D4.labda tu kitaalamu wanasema pia Engines zinakuwa na Noise uki compare na Full VVTI.
 
Mkuu nimekuelewa... Na kwenye kelele ni kweli kabisa ila hiyo full VVTi huwa silencer mnoo imetulia.
 
Ferrari wana option ya Dual Clutch system ambayo gear zipo kwenye steering unafanya Ku push high na low gear badala kuhangaika kukanyaga mafuta mengi u just control gears at ur hands
Hio inaitwa paddle shifting, hata gari za kawaida kama Mazda rx 8 Zina hio system
 
I'll recommend VW Golf, BMW 320, Toyota Carina Ti.
 
Naam
Kama title inavyojieleza hapo juu...

Actualy ni swali, At list ningependa kujua kutoka kwenu gari ndogo zenye 1790Cc -1500Cc ambazo mtu anaweza kutoboa safari za Dar-Arusha ama Dar-Mbeya au Dar-Mwanza angalau mara 2 ndani ya kila mwezi..

Nina mana ya kama ni Dar-Arusha basi ndani ya mwezi inaweza kusafiri mara 2...
Gari yoyote well serviced inatoboa vizuri tu, dar arusha km 650 sio big deal
 
Back
Top Bottom