Ni haki kweli kumlipia mpenzi wako mahari ng'ombe 40?

Ni haki kweli kumlipia mpenzi wako mahari ng'ombe 40?

Mahari za namna hii ndio maana wanaume wanapata haki ya kuwanyanyasa wake zao......sababu kama wameuziwa hivi ..........
 
Nina mshkaji wangu, homeboy wangu kabisa ana mpenzi wake ambaye wamedumu naye kwenye mahusiano kwa takribani miaka 2.

Mwana akaamua ampeleke mtoto kwa wazazi wake huko Tanga kwanjeka. Wazazi wa mwana wakamwelewa na kumkubali huyo demu kiroho safi, sasa ikawa zamu ya demu kwao ni Simiyu maeneo ya Itilima ni mnyantuzu.

Kufika huko wazazi wa demu wakamkomalia mshkaji wangu alipe ng'ombe 40 kama mahari ya demu haswa ukizingatia wamemsomesha kwa gharama. Mshkaji aliponiomba ushauri juu ya hili swala, mi nikamshauri atoe kama kweli anampenda demu, ila wazazi wa mwana wamemwambia hawamtaki tena huyo demu wake nakwamba atafte mwingine.

Sasa kwanini wazazi wanaweka mahari za kukomoa watu? Na hapo si kama amemfanya mwanae kuwa kitega uchumi? Ni aibu sana tena sana!

Wakikuona mshamba lazima wakupige😀

Yaani wanawake walivyojaa mtu atoe NG'OMBE 40 au atoe mahari hata milioni 3. Kwa dunia ya sasa si atachekwa!
 
Kwani aliyetoa bikira alilipa ng'ombe ngapi? Tuanzie hapo kwanza
 
Kwani ngombe 40 kwa makadirio Ni sh ngapi?
Ninavyojua katika mahari ng'ombe huthaminishwa kwa laki mbili, so hata mtu akitoa million mbili inatajwa ni mahari ya ngombe kumi. Jamaa atafute wazee, arbagain ht ng'ombe ishirini, awape million ambayo ni 5, myingine aseme atamalizia, full stop
 
Kumbe rahisi hivi hauwezi kosa m8 aisee mimi nilipiga ng'ombe moja laki 8 hadi milioni so nikaona m 34 hadi m 40 parefu mno
 
Utamlaumu bure tu, lakini kwenye jamii ya wasukuma ni kweli wanathamini ng'ombe wengi sana. Kwa kawaida wanaanzia 25. Lakini kama binti kasoma na ni mweupe, mbona 40 kawaida sana.
But pia hua wanaeka exception kama mwanaume anaekuja kuoa ana kazi nzuri au kipato cha uhakika maana wanaamini kwa huyu binti yao hawezi kuteseka, so hapo watashuka maybe hata mpka ng'ombe 10.
Ushauri wa bure, huyo mwanao mwambie atafte wazee wa kisukuma kutoka pande hizo ndo aunganishe na wazee wake af ndo waende kuongelea mahari. Hapo atapata unafuu tena mkubwa tu. Lakini akoenda kibingwa ye na hao watu wa tanga, watakamuliwa mpka watoke jasho la kwenye meno.
Mwisho kabisa, mahari sio lazma ypte kwa mara moja. Ikishindikana amtungue kijusi tu, lazma wapoze engine.
Na hao ng'ombe ni vitoto ng'ombe au..me siwezi nunua ng'ombe nitawap max milion 4 hao ndo watajua wanunue nini
 
Ninavyojua katika mahari ng'ombe huthaminishwa kwa laki mbili, so hata mtu akitoa million mbili inatajwa ni mahari ya ngombe kumi. Jamaa atafute wazee, arbagain ht ng'ombe ishirini, awape million ambayo ni 5, myingine aseme atamalizia, full stop
Mkuu elewa hawataki hela wanataka ng'ombe kama ng'ombe yule mnyama!
 
Mkuu elewa hawataki hela wanataka ng'ombe kama ng'ombe yule mnyama!
Tafuta wazee wakaongee, kwa miaka ya sasa hakuna biashara za kupeleka zizi, ila wakikomaa nashauri achaneni na huyo bidada au mtieni mimba tu. Mahali itashuka yenyewe tu
 
Back
Top Bottom