Ni haki kweli kumlipia mpenzi wako mahari ng'ombe 40?

Ni haki kweli kumlipia mpenzi wako mahari ng'ombe 40?

Simiyu ndo walivyo mimi kuna mmoja alishawahi leta habari za ngombe 40..mimi nokamwambia naweza toa iphone 6 tuu...🤣🤣🤣 yani 3m-4m kwa wanyantuzu ndo kawaida yao mzeee
 
Simiyu ndo walivyo mimi kuna mmoja alishawahi leta habari za ngombe 40..mimi nokamwambia naweza toa iphone 6 tuu...🤣🤣🤣 yani 3m-4m kwa wanyantuzu ndo kawaida yao mzeee
Wanachukuliwa kwa gharama then wanaishia kunyanyasika....mwanaume akikulipia mahari wastani bas hata kukuacha aumii.Mahari kubwa ataumia kukuacha mtaishia kuuana tu
 
Mahali ni muhimu sana. Mwanamke ambae hajatolewa mahali hana nafasi au hati miliki kwa mwanaume, vile vile kwa Mwanamume mahali inaonesha nguvu ya mume kutunza familia.

Nb: Mwanaume usioe kwenye familia inayozidi familia yenu kipato,maana mahali ni jambo la kifamilia wala sio la mtu binafsi.
 
Wanachukuliwa kwa gharama then wanaishia kunyanyasika....mwanaume akikulipia mahari wastani bas hata kukuacha aumii.Mahari kubwa ataumia kukuacha mtaishia kuuana tu
Hahahaa sasa wazazi wanajumlisha gharama walizotumia utafikiri anaeenda kuoa wazazi wake hawajatumia gharama yoyote ile...
 
Kwamba wamemsomesha Kwa gharama? Kwahiyo dem atamkabidhi jamaa degree yake au[emoji1787],,Ndo mana mwanamke anakuwa ni kama kanunuliwa, me dada zangu nashauligi waende bureee Kwa wanaowapenda wakizunguliwa tu nawaambia warud

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliye mwambia aowe nani kajitakia nakupa mbinu tia mimba hiyo ng'ombe yao watapunguza tempa mtayazungumza utalipia ng'ombe 2 tu badala ya 40
 
Wewe siyo mzazi wao ndiyo maana unashauri hivyo.

Dada asiyetolewa mahari huyo si kama kavushwa ghetto tu ?
 
Kwa wasukuma ng'ombe wa mahari bei yake ina_range 170,000 -200,000
In short ng'ombe 40 ni sawa. Na Ths 8,000,000/=
Na 40 hawapunguzi chochote maana siku unatoa mahari unakuta mwaka huo unazalisha wengine more than that.

Halafu kwa wasukuma mwanamke kwenye familia ana thamani sana kuliko kitu chochote.

Na ni heshima kubwa kulipa mahari kuliko kubeba mtoto wa watu kama umeiba tv sebuleni.
 
Aliye mwambia aowe nani kajitakia nakupa mbinu tia mimba hiyo ng'ombe yao watapunguza tempa mtayazungumza utalipia ng'ombe 2 tu badala ya 40
Faini ni Ng'ombe mmoja

Halafu mahari ipo pale pale[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna jamaa yangu alipenda Demu wa jamii ya wafugaji Mahari alipimiwa Ngombe 100 alikata tamaa Mshenga kabembeleza mpaka zikafika 50.
Wakaomba wadhaminishiwe kwa Cash kila ngombe wakaambiwa ni Elfu hamsini(50,000)
mwisho wa siku unakuta ni Mahari ya kawaida

Ushauri wangu kama anampenda akaze kuomba kushushiwa alafu waombe kutoa hela si ajabu ni mahari Rafika kabisa ya milioni mbili kasoro
 
Mahali ni kipimo cha mapenzi na shukrani kwa wazazi wa binti husika, ila inapozidi inakuwa ni mzigo na machungu kwa anayetoa. Ndio maana wengi wanaooa kwa mahali kubwa uchukulia mwanamke kama bidhaa.
 
Back
Top Bottom